😁😁😁😁Wewe angalia wakipata goli wanavyoshangilia kama vichaaaa[emoji1787]
Kukosa Ubingwa miaka 4 si jambo dogo wakuu wale watu kwa sasa wana msongo mkubwa sana wa mawazo kwa kifupi ni vichaaa.Timu ndogo ndogo kama Yanga zina mihemko ya ajabu sana.
Una umri wa miaka mingapi?Timu ndogo ndogo kama Yanga zina mihemko ya ajabu sana.
Na migogoro itaanza, na wasaliti watatajwa!Yaani siku iyo watalia kilio cha mbwa koko.
Na wataanza kusema Kwa nini wengine wanakuwa na viporo?Sio kupoteza,, wakitoa suluhu tu lazima atafutwe mchawi pale,, na zigo lote watatupiwa tff wanawahujumu, mo ananunua mechi, sasa hivi hayo huyasikii kwa kuwa wanaongoza ligi.
Hapa hakua anaongoza Yanga kwani mechi simba alkua nazo 3 mkononi ambazo ana uhakika wa kushinda.
Yaani mashabiki wa simba ni changamoto! Wameanzisha uzi wao wa kujitekenya na kujichekesha, huku wananchi tukiwachora tu 🙄Hahahaaa. Naona mmeanzisha uzi wa kujifariji. Lol
#Mkishaamka msisahau kupiga mswaki.
Nawaaminia wachezaji. Unakumbuka ule msako prisons waliotembezewa baada ya kupata goli, na biashara alivosachiwa mpaka akakubali kutoa.Yaani mashabiki wa simba ni changamoto! Wameanzisha uzi wao wa kujitekenya na kujichekesha, huku wananchi tukiwachora tu 🙄
Sasa kwa Yanga ya msimu huu, kweli kuna shabiki wa kumtafuta mchawi kweli iwapo timu itafungwa? Na hiyo timu ya kuifunga yanga ipo kweli?
Binafsi tangu usajili wa awali ulipofanyika (achilia mbali huu wa dirisha dogo unao endelea), naamini Bingwa wa Ligi Kuu msimu huu ni Yanga!
NB: Nawausia Wachezaji kuendelea kutoa vipigo mwanzo mwisho, ili hawa mbumbumbu fc wakose cha kusema mwishoni mwa msimu! Safari hii hakuna kabisa kucheka na Kima.