Ndo hali halis iliyopo huko utoHahahaaa. Naona mmeanzisha uzi wa kujifariji. Lol
#Mkishaamka usingizini msisahau kupiga mswaki.
Wakakupime akili. Nyie mashabiki wa mikia mlioingia juzi kwa kufuata upepo,mupo wengi mna matatizo ya akili na wengine wengi utoto mwingi. Mpira umeanza leo mpaka leo waingie uwanjani?Kwamba Yanga ikipoteza mechi hata moja ,itapoteza mwelekeo,na mashabiki watapaniki ,wachezaji watacheza kwa presha kubwa
Au nyie mnasemaje?View attachment 2065819
Nimefurahi hakuna shabiki wa yanga aliewajibu...haya endeleeni na kikao nyie mbumbu
Kwamba Yanga ikipoteza mechi hata moja ,itapoteza mwelekeo,na mashabiki watapaniki ,wachezaji watacheza kwa presha kubwa
Au nyie mnasemaje?View attachment 2065819
Sijaelewa unaongea hivyo Kwa maana gani?Tangu ligi hii kuanzishwa Yanga hajawahi kushinda ubingwa.....unawaza kwa kutumia utumbo mpana
Wewe Ni shabiki wa Ndanda?. Zuzu kwelikweli!Nimefurahi hakuna shabiki wa yanga aliewajibu...haya endeleeni na kikao nyie mbumbu
Timu ndogo ndogo zina mhemko sana mkuu, angalia umeacha hoja unataka kujua umri wa mtu wakati wa kwako hujasema.Una umri wa miaka mingapi?
Mkuu nakwambia siyo Mihemko. Unakumbuka Simba tulipokosa Ubingwa Miaka 5 mfululizo ilikuwaje? Tulikuwa zaidi ya Nyati tukiwa Uwanjani. Pale Taifa Viti tuling'oa, ugomvi nje ya uwanja ilikuwa kawaida, Lawama za kila namna so tusiwabeze wenzetu msoto wanaopitia si mchezo na tukae nao kwa step hawako sawa kichwani.Una umri wa miaka mingapi?
kupoteza mechi ni kawaida ktk mpira !!relax tu mambo mazuri bado pale jangwaniKwamba Yanga ikipoteza mechi hata moja ,itapoteza mwelekeo,na mashabiki watapaniki ,wachezaji watacheza kwa presha kubwa
Au nyie mnasemaje?View attachment 2065819
hhahahaha ulivyomalizia bana!!eti makolo!hahahahNawaaminia wachezaji. Unakumbuka ule msako prisons waliotembezewa baada ya kupata goli, na biashara alivosachiwa mpaka akakubali kutoa.
Juzi Dodoma walitaka kuleta dharau wakapigwa kipigo kizito.
Kuna wale watoto wa kitanga naskia wanajitapa huko, ngoja tuone itakuaje.
Na mapolisi huko Moshi naskia wanapiga gwaride kukamia.
All in all makolo wasiwatwishe wenzao mzigo uliowashinda. Wawe wapole.
πππππYaani mashabiki wa simba ni changamoto! Wameanzisha uzi wao wa kujitekenya na kujichekesha, huku wananchi tukiwachora tu π
Sasa kwa Yanga ya msimu huu, kweli kuna shabiki wa kumtafuta mchawi kweli iwapo timu itafungwa? Na hiyo timu ya kuifunga yanga ipo kweli?
Binafsi tangu usajili wa awali ulipofanyika (achilia mbali huu wa dirisha dogo unao endelea), naamini Bingwa wa Ligi Kuu msimu huu ni Yanga!
NB: Nawausia Wachezaji kuendelea kutoa vipigo mwanzo mwisho, ili hawa mbumbumbu fc wakose cha kusema mwishoni mwa msimu! Safari hii hakuna kabisa kucheka na Kima.
Yanga ubingwa wa Bara au Tanzania si changamoto kwakua kwenye rekodi yeye ndio Bingwa maranyingi zaidi kuliko timu yoyote apa nchini Ila kulikosa ilo kombe Heshma ya Yanga imepungua.
Msimu huu wamerudisha Heshma tayari kwakua walipo maliza usajili pale walisha chukua ubingwa kwa Sasa ni swala la muda tu kikabidhiwa. Kwa Sasa Yanga Inabidi kuzidi kuimarisha kikosi kwa ajili ya mechi za kimataifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe angalia wakipata goli wanavyoshangilia kama vichaaaa[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mechi zipi za kimataifa? Kwa Sasa Yanga Inabidi kuzidi kuimarisha kikosi kwa ajili ya mechi za kombe la mapinduzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa takwimu za Tff msimu uliopita Yanga ifungwa marambili na alikosea ubingwa, Simba alikua Bingwa na alifika makundi kwenye mashindano ya CAF Ila takwimu zinaonyesha Yanga iliongoza kwa mashabiki wake kuingia viwanjani ao ni Tff wanao simamia Soka la Bongo.
Yanga ndio timu ya Wananchi, Hakuna Shabiki wa mpira katika nchi hii asiye na Asili ya Yanga kwakua bila Yanga kusingekua na Uhuru katika nchi hii.
Kiasili Yanga imeshiriki kwa namna moja au nyingine katika ukombozi wa nchi nyingi kusini mwa Bara la Africa. Yanga ni maisha ya mtanzania, utake usitake Ulazimwishi Ila ndio ukweli. Muulize Baba yako au Babu yako kwenye ukoo wao Kuna Yanga wangapi alafu utapata jibu tunajadili Nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga ubingwa wa Bara au Tanzania si changamoto kwakua kwenye rekodi yeye ndio Bingwa maranyingi zaidi kuliko timu yoyote apa nchini Ila kulikosa ilo kombe Heshma ya Yanga imepungua.
Msimu huu wamerudisha Heshma tayari kwakua walipo maliza usajili pale walisha chukua ubingwa kwa Sasa ni swala la muda tu kikabidhiwa. Kwa Sasa Yanga Inabidi kuzidi kuimarisha kikosi kwa ajili ya mechi za kimataifa.