redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Yanga ubingwa wa Bara au Tanzania si changamoto kwakua kwenye rekodi yeye ndio Bingwa maranyingi zaidi kuliko timu yoyote apa nchini Ila kulikosa ilo kombe Heshma ya Yanga imepungua.
Msimu huu wamerudisha Heshma tayari kwakua walipo maliza usajili pale walisha chukua ubingwa kwa Sasa ni swala la muda tu kikabidhiwa. Kwa Sasa Yanga Inabidi kuzidi kuimarisha kikosi kwa ajili ya mechi za kimataifa.