Siku yangu ya kwanza kujiunga JF nilidhani haya

Mie nilidhani kila aliyemo humu:
1. Ni mfanyabiashara tajili.
2. Analipwa mshahara si chini ya Tshs 1 million.
3. Afisa usalama wa taifa.
4. Ni profesa au PhD holder, au Elimu ya kuanzia degree.
Kumbe hata:
a. vilaza kama Mimi wapo wengi tu.
b. Maskini kama mimi wapo wengi Tu.
c. Waganga njaa kama mimi wapo wengi Tu.
d. Wanaolipwa mshahara chini ya laki tatu kama mimi wengi tu.
 
Hiyo nyirovet na sirovet ndo nn
 
ndo hivyo MKUU
kipindi kile jf tuliishi kama ndugu...
tatizo la mmoja tulichukulia la WOTE
na hata kejeli za kisiasa hazikuwepo kipindi kile.tulikuwa tubabishana kwa hoja na fact .
nadhani unadhifu wa jf ya kipindi kile ndiyo uliwafanya wengi wadiriki kutambua jf ni kisiwa cha watu makini.
lakini ndo hivyo wafake maisha wameiharibu jf
 
Mi nilidhani kila memba JF anajua kuzungumza kiingereza kumbe vichwa panzi wapo
 
Nilidhani wana jf wote wana digrii kumbe wengine wa digidigi[emoji38][emoji38]
Mbaya zaidi nikadhani wote wana magari na mabiashara makubwa darisalamu

Siku hizi nasikia asilimia 79.7% ya wana jf wanakunywa beer za Eagle[emoji125][emoji125][emoji125]
Wacha maneno nenda kwenye uzi wetu uone mambo na huwa live.
 

Mimi kuna Njemba humu iliniambia ipo London ( Uingereza kwa Malkia Elizabeth na Theresa May ) lakini dakika 45 baadae nikaja Kukutana nae Kwa Mnyamani tena akiwa anagongea ' Supu ' kwa Mshkaji. Nilichoka Mkuu na tokea nimfahamu siku hiyo sasa ana mwaka kama siyo mwaka wa pili ID yake ile iko ' Likizo ' ya lazima na iliyotukuka kabisa.
 
Ukiona demu au mwanamke amekuwekea picha nzuri ya mwanamke mrembo kwenye avatar yake ujue sio yeye na wala sio mrembo kabisa
Ckuiz wanawek picha za wanawak wenye mishepu mikubwa mikubwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sawa sawa
 
Pole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…