britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #61
Kwahiyo ungekutana na mtu anatumia ID hizo ungelala nao, mbeleNilizani jenista muhagama, borna kalua na ummy mwalimu wamo humu niwatongoze nipate mteremko wa haya maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ungekutana na mtu anatumia ID hizo ungelala nao, mbeleNilizani jenista muhagama, borna kalua na ummy mwalimu wamo humu niwatongoze nipate mteremko wa haya maisha
Angepata tabu mnoo bahati mbaya nikagundua wengi ID zao ni fekiKwahiyo ungekutana na mtu anatumia ID hizo ungelala nao, mbele
Tupe link basi
Hiyo nyirovet na sirovet ndo nnNachofahamu Mimi watu tulip wakorofi humu na tunaocoment sana in real life tuko very Introvert na Watu wasiochangia sana ndio Extrovert hatari in real life (waongeaji kupitiliza)
Mbaya zaidi, ogopa wale wanaojifanya sana hekima au wanashauri washenzi hao bora sisi mambumbumbu.
ndo hivyo MKUUHehehe
Mkuu nami pia!! Lakini nilidhani pia tupo peke yetu humu kumbe bwana!!! We acha tu.Hivi unajua hata mimi, duuuhh!!
Pole mamymi nilishushuliwa sina hamu
Mi nilidhani kila memba JF anajua kuzungumza kiingereza kumbe vichwa panzi wapoMie nilidhani kila aliyemo humu:
1. Ni mfanyabiashara tajili.
2. Analipwa mshahara si chini ya Tshs 1 million.
3. Afisa usalama wa taifa.
4. Ni profesa au PhD holder, au Elimu ya kuanzia degree.
Kumbe hata:
a. vilaza kama Mimi wapo wengi tu.
b. Maskini kama mimi wapo wengi Tu.
c. Waganga njaa kama mimi wapo wengi Tu.
d. Wanaolipwa mshahara chini ya laki tatu kama mimi wengi tu.
Wacha maneno nenda kwenye uzi wetu uone mambo na huwa live.Nilidhani wana jf wote wana digrii kumbe wengine wa digidigi[emoji38][emoji38]
Mbaya zaidi nikadhani wote wana magari na mabiashara makubwa darisalamu
Siku hizi nasikia asilimia 79.7% ya wana jf wanakunywa beer za Eagle[emoji125][emoji125][emoji125]
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2010 nikiwa natumia ID flani maarufu baadae nikaiacha,
Nilipojiunha JF
1. Nilidhani kila anayetumia jina la mwanamke ni demu kweli, na wengine niliwaibukia nkidhani naweza pata mchumba hapa hapa, haha , na mbaya zaid nikaamini kila mmoja ni mrembo
2. Nilidhani kila anayeleta story MMU ni ya kweli kumbe wengine uchangamsha baraza tu
3.Nilidhani kila mtu anayesema mnyetishaji wangu kasema, nikadhani wana access ikulu ama usalama wa taifa kumbe uongo mtupu
4. Nilidhani kila anayesema niko ulaya yupo kweli kumbe wengine ni story but wanasimuliwa wanatuletea,
5. Mbaya zaid nilidhani ........
Je we ulipojiunga JF siku ya kwanza ulikuwa na mawazo gani?
Ckuiz wanawek picha za wanawak wenye mishepu mikubwa mikubwaUkiona demu au mwanamke amekuwekea picha nzuri ya mwanamke mrembo kwenye avatar yake ujue sio yeye na wala sio mrembo kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi kuna Njemba humu iliniambia ipo London ( Uingereza kwa Malkia Elizabeth na Theresa May ) lakini dakika 45 baadae nikaja Kukutana nae Kwa Mnyamani tena akiwa anagongea ' Supu ' kwa Mshkaji. Nilichoka Mkuu na tokea nimfahamu siku hiyo sasa ana mwaka kama siyo mwaka wa pili ID yake ile iko ' Likizo ' ya lazima na iliyotukuka kabisa.
Sawa sawando hivyo MKUU
kipindi kile jf tuliishi kama ndugu...
tatizo la mmoja tulichukulia la WOTE
na hata kejeli za kisiasa hazikuwepo kipindi kile.tulikuwa tubabishana kwa hoja na fact .
nadhani unadhifu wa jf ya kipindi kile ndiyo uliwafanya wengi wadiriki kutambua jf ni kisiwa cha watu makini.
lakini ndo hivyo wafake maisha wameiharibu jf
Kumbe hakunaNilijua kuna mshahara kila mwisho wa mwezi.
Pole mkuuMimi kuna Njemba humu iliniambia ipo London ( Uingereza kwa Malkia Elizabeth na Theresa May ) lakini dakika 45 baadae nikaja Kukutana nae Kwa Mnyamani tena akiwa anagongea ' Supu ' kwa Mshkaji. Nilichoka Mkuu na tokea nimfahamu siku hiyo sasa ana mwaka kama siyo mwaka wa pili ID yake ile iko ' Likizo ' ya lazima na iliyotukuka kabisa.