Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
- #21
Hili ni tatizoTatizo binadamu badala ya kubuni mbinu za kukabiliana na changamoto tunafikiria kwenda kuomba, (kumpigia mtu mwingine magoti)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni tatizoTatizo binadamu badala ya kubuni mbinu za kukabiliana na changamoto tunafikiria kwenda kuomba, (kumpigia mtu mwingine magoti)
Is it you?? Au kwasababu Jenesta sio Mhamas??misingi mibovu, unategemea nyumba itakuwaje? Nyufa mtindo mmoja.
Hiyo si ndiyo mnaita "karma"?
Ukiwadhalilisha wengine na wewe tegemea kudhalilika tu.
Ilete wewe!! We dare to talk openlyUngeileta na ile picha ya Jenijeni naye kapiga magoti akimfikishia/kupokea ujumbe kutoka kwa mmoja wa mawaziri "wakubwa" ili kuleta mlinganyo sahili.
Huoni nani aloiyeleta hiyo picha?Is it you?? Au kwasababu Jenesta sio Mhamas??
#aloiyeletaHuoni nani aloiyeleta hiyo picha?
Au unataka kuukimbia ukweli?
Jeni ni mnyenyekevu?🙄🙄 mbona jenister ni kama mnyenyekevu aliwezaje kuwa Comfortable anaongea na mtu hivo. No matter what.🙄
Ukweli upo wazi na nimeuandika wote juu hapo. Kama una mawazo yako mengine yaseme tu.#aloiyeleta
Kuna shida sehemu Faiza na hutaki kusema