Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Hii nayo ni habari. ?? Acheni Uganga wa kienyeji. CHADEMA mkikosa cha kuandika mnakuwa manabii kokoWale wenye jicho la tai nadhani mmenielewa. Tangu alipoenda Chato kwenye kumbukizi ni kama mambo yamebadilika.
Yajayo yanaweza kufaurahisha.View attachment 3561664
Maisha ya kuviziana sio maishaWale wenye jicho la tai nadhani mmenielewa. Tangu alipoenda Chato kwenye kumbukizi ni kama mambo yamebadilika.
Yajayo yanaweza kufaurahisha.View attachment 3561664
Usiwapangie watu namna ya kufikiri na kutoa michango yao humu.Hii nayo ni habari. ?? Acheni Uganda wa kienyeji. CHADEMA mkikosa cha kuandika mnakuwa manabii koko
Wewe mwenyewe unafanya kosa hilolhilo la kunipangia cha kufikiri na kuandika.Usiwapangie watu namna ya kufikiri na kutoa michango yao humu.
Sema rectum ikiwa inawasha sometimes inashauriwa kutumia Dettol soap haswa ile ya maji😐Hii nayo ni habari. ?? Acheni Uganda wa kienyeji. CHADEMA mkikosa cha kuandika mnakuwa manabii koko
Yes,Wale wenye jicho la tai nadhani mmenielewa. Tangu alipoenda Chato kwenye kumbukizi ni kama mambo yamebadilika.
Yajayo yanaweza kufaurahisha.View attachment 3561664
Hakuna jipya. Tujuavyo mkuu wa psu,ambayo pia inamlinda vp bado anatii amri kutoka kwa amiri kesho mkuu. Ingekuwa hivyo unavyohisi hawashindwiWale wenye jicho la tai nadhani mmenielewa. Tangu alipoenda Chato kwenye kumbukizi ni kama mambo yamebadilika.
Yajayo yanaweza kufaurahisha.View attachment 3561664
mpiga ramli!Wale wenye jicho la tai nadhani mmenielewa. Tangu alipoenda Chato kwenye kumbukizi ni kama mambo yamebadilika.
Yajayo yanaweza kufaurahisha.View attachment 3561664
Agenda ni kuifukuza CCMYes,
Dr. Emmanuel John Nchimbi ni agenda ya waTanzania kwa mwaka 2030-2040,
ni lazima kuilinda na kuitunza kwa nguvu, wivu mkubwa na kwa gharama yoyote ile tunu hii muhimu ya Taifa letu
Tangu mumeo abwagwe na Lissu, CHADEMA inakuwewesesha sana.Hii nayo ni habari. ?? Acheni Uganda wa kienyeji. CHADEMA mkikosa cha kuandika mnakuwa manabii koko
Chawa umeshaanza kujiposition mapema,Yes,
Dr. Emmanuel John Nchimbi ni agenda ya waTanzania kwa mwaka 2030-2040,
ni lazima kuilinda na kuitunza kwa nguvu, wivu mkubwa na kwa gharama yoyote ile tunu hii muhimu ya Taifa letu
SamahaniWale wenye jicho la tai nadhani mmenielewa. Tangu alipoenda Chato kwenye kumbukizi ni kama mambo yamebadilika.
Yajayo yanaweza kufaurahisha.View attachment 3561664
Wote wahuni tu hao...Wamekaliana vibaya na Samuya