Siku za Humphrey Polepole na wenzake ndani ya CCM zinahesabika

Double standard mara ngapi, hivyo wewe unaona mambo yako sawa.
 
Mwanachama machachali sana ndani ya CCM ndugu Humphrey Polepole a.k.a Comred Polepole pamoja na genge lake lipo hatiani kuondoka ndani ya Chama cha mapinduzi kutokana na kwenda sawa na mfumo wa awamu ya sita...
Bila fitna humo mmh!
 
Sijaona mgogoro wa kumfukuza mtu uanachama hapo!

Labda kama wewe ni mgeni wa siasa za ccm...
Polepole hata akifukuzwa Uanachama, hawezi kupoteza ubunge. Ubunge wake hautokani na nafasi za chama. Bali ni zile nafasi kumi za Rais, ambazo anaweza kuteua mtu yeyote hata asiye na chama au kutoka chama Cha upinzani (rejea Mbatia). Hivo ubunge ni wa miaka Mitano full, mpaka bunge litakapovunjwa au mazingira mengine kabisa.

Mzee wa Asasi za Kiraia, hana cha kupoteza katika ubunge wake. Labda Gwajima, huyo sababu hiyo inaweza kumuondoa Bungeni but siyo Polepole. He is there to stay!
 
Polepole bado yupo sana CCM!
 
Hahaha...wathubutu waone, afu nyie ya CCM yanawahusu nini wapumliwa visogoni?
Adui wa ndani ni hatari zaidi kuliko Adui wa nje ya Chama.

Hawa team Sukuma Gang kuna haja ya kuwaweka kando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…