Siku za Humphrey Polepole na wenzake ndani ya CCM zinahesabika

Walivyoandika na alichokisema kimepotoshwa saana, nenda katafute mahojiano aliyofanya...kazungumzia Ilani na Chama ndicho kilichoiweka Serikali hii, ameondoka JPM kama mtu mmoja lakini Ilani inayotekelezwa ni ile ile
 
Unaakili ndogo wapi katiba ya ccm imesema kuwa kuna kuangalia kina mdee kwanza kabla ya kufukuza mtu?
 
Rais anayo mamlaka ya kuondoa ubunge wake kumbuka barozi wa ujerumani aliondolewa ubunge na uwaziri na kupelekwa ubarozi
 
SOPINTO sasa hivi Disemba. Zimebaki siku ngapi?
 
Hivi wewe unafwatillia kweli Sias ati unasema CCM haiwezi mfuta mtu iwanachama kwa sababu tu ni mbunge tena wakuteuliwa....
 
Mimi binafsi huwa naishangaa sana chadema. Kwa huu mpasuko uliyopo CCM inatakiwa CDM watumie kila mbinu wamchukue komredi polepole. Wapiga kura wengi ambao walibatizwa Jima la Wanyonge kwa 100% bado wana imani sana na mfumo wa utawala wa JPM. Hivyo akipatikana mfuasi Mzuri wa JPM 2025 CDM ikulu ni yao.

Lakini utawashangaa CDM wanamchukua mwana CCM wa ajabu ajabu. Lakini pia Tundu amechafuliwa na amechafuka. Hivyo waachane nae. Goli lipo wazi CDM tafuteni striker mzuri mfunge goli
 
Adui wa ndani ni hatari zaidi kuliko Adui wa nje ya Chama.

Hawa team Sukuma Gang kuna haja ya kuwaweka kando.
Mkuu hili jambo likishughulikiwa kikabila kama unavyochukulia wewe basi CCM itakuwa inajichimbia kuburi. Kwa Tanzania wasukuma ndiyo kabila lenye watu wengi sana lina mikoa mi4 ambayo ni Mwanza, Simiyu, Shinyanga na Tabora. Na pia wametapakaa mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…