Siku za Humphrey Polepole na wenzake ndani ya CCM zinahesabika

Wanadhani CCM ni kama saccos ya Mbowe, hata ukigombania naye mwanamke kesho yake anaitisha Kamati Kuu ya dharula wanakuvua uanachama
Yaonekana pamoja yote UKWELI ni kuwa, pamoja na matakataka yote mnamwogopa sana Sir Humphrey Polepole, hakuna wa kumgusa. Mengine ni porojo zenu za kitoto kama za Ndugai, Sirro na wale vijana wenu wanaohangaika kuokoteza cha kusema kule mahakamani.
 
Hivi umeishajaaliwa kupangwa zamu ya kufanya usafi malaloni Burigi tangu wamuhamishie jengo jipya?
Wahi nenda haraka hata kama jina halimo, wahitaji 'upako' kutoka kwa malaika wa kuzimu.
 
Mama anadekeza sana,ila kwa kauli ya Jana anaanza kuchoka japo amechelewa ilitakiwa asiongee na MTU yeye kimya kimya piga chini wote.
Inatakiwa Japhary Haniu tu ndio asomeke kwenye press release za Ikulu basi,yaani kima wanisumbue ??
 
Kwani Mh Lissu hakumgaragaza Jiwe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…