Siku za karibuni ITV imekuwa shabiki wa siasa za hovyo

Sangamwalogesha

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2025
Posts
2,153
Reaction score
1,419
Siku za karibuni ITV imekuwa shabiki wa siasa za hovyo za watu kama Lissu, chombo hiki kinajua kabisa Lissu kauli zake ni hatari kwa utulivu na amani ya nchi.

Badala waelimishe wananchi wamekuwa chombo cha kuokoteza kila kikundi kinachoenda kinyume na jitihada za serikali. Wajitathmini, wajitafakari hayo matangazo yao watayafanyia wapi na kwa nani hao wakiweza kukinukisha km wanavyotaka.

ITV iache ushabiki wa kipuuzi Serikali yetu ni makini sana na usalama wa nchi yetu. Km hawawezi kuunga jitihada za serikali au wana mgombea wao ni bora wakae kimya.

Serikali iwafuatilie kwa umakini wakiendelea na ushabiki wa hao wahuni serikali isisite kuwachukulia hatua kali. Amani, utulivu, umoja wa kitaifa na usalama ni tunu za Taifa letu never let anyone to take it for granted.
Ni hapa juzi kuna bwana moja sijui m/kiti wa chadema mkoa wa Ruvuma alikuwa anatumia lugha chafu ya kihuni, ya kichochezi eti "Lissu angeamrisha wananchi kuwashughulikia polisi ingekuwaje? Na ITV ikampatia air time kubwa ht Rais wa nchi hapewi hivyo. Ht leo ktk jumbe za Pasaka wamechagua ujumbe usio na nia njema, Lissu ni mtuhumiwa kesi iko mahakamani, TEC ni nani kuingilia taratibu za serikali na mahakama? Wanataka nchi hii isitawalike? Zilitolewa jumbe nzuri sana ITV mkapuuza mkaona jumbe za kihaini zisizoheshimu na kutii mamlaka ndio za maana. Mjitathmini.
 
Siku za karibuni ITV imekuwa shabiki wa siasa za hovyo za watu km Lissu, chombo hiki kinajua kabisa Lissu kauli zake ni hatari kwa utulivu na amani ya nchi. Badala waelimishe wananchi wamekuwa chombo cha kuokoteza kila kikundi kinachoenda kinyume na jitihada za serikali. Wajitathmini, wajitafakari hayo matangazo yao watayafanyia wapi na kwa nani hao washenzi km kina Lissu wakiweza kukinukisha km wanavyotaka. ITV iache ushabiki wa kipuuzi Serikali yetu ni makini sana na usalama wa nchi yetu. Km hawawezi kuunga jitihada za serikali au wana mgombea wao ni bora wakae kimya. Serikali iwafuatilie kwa umakini wakiendelea na ushabiki wa hao wahuni serikali isisite kuwachukulia hatua kali. Amani, utulivu, umoja wa kitaifa na usalama ni tunu za Taifa letu never let anyone to take it for granted.
Chomoa kabla hakijakuletea madhara kikakuuma zaidi
 
Leo ndo nimeelewa wewe debe tupu!!

Kwamba chombo cha habari unataka kiripoti taarifa unazozitaka wewe tu!!? Hizo usizozitaka Kuna wengine wanazitaka.

Kumbuka hata wewe tutailaumu jf kuvumilia watu wapumbavu kama wewe
 
Siku za karibuni ITV imekuwa shabiki wa siasa za hovyo za watu kama Lissu, chombo hiki kinajua kabisa Lissu kauli zake ni hatari kwa utulivu na amani ya nchi.

Badala waelimishe wananchi wamekuwa chombo cha kuokoteza kila kikundi kinachoenda kinyume na jitihada za serikali. Wajitathmini, wajitafakari hayo matangazo yao watayafanyia wapi na kwa nani hao wakiweza kukinukisha km wanavyotaka.

ITV iache ushabiki wa kipuuzi Serikali yetu ni makini sana na usalama wa nchi yetu. Km hawawezi kuunga jitihada za serikali au wana mgombea wao ni bora wakae kimya.

Serikali iwafuatilie kwa umakini wakiendelea na ushabiki wa hao wahuni serikali isisite kuwachukulia hatua kali. Amani, utulivu, umoja wa kitaifa na usalama ni tunu za Taifa letu never let anyone to take it for granted.
Matako ya fisi wewe
Yelewiii parakwiiii Haya ni maajabuu
Anzisha chombo chako
 
Zama za habari za kusifia serekali zimepita. ITV wanatoa habari zilizopo, sio zinazoifurahisha ccm ama serekali. Katazame TBC hiyo inatangaza kile ww unachopenda tu.
 
Siku za karibuni ITV imekuwa shabiki wa siasa za hovyo za watu kama Lissu, chombo hiki kinajua kabisa Lissu kauli zake ni hatari kwa utulivu na amani ya nchi.

Badala waelimishe wananchi wamekuwa chombo cha kuokoteza kila kikundi kinachoenda kinyume na jitihada za serikali. Wajitathmini, wajitafakari hayo matangazo yao watayafanyia wapi na kwa nani hao wakiweza kukinukisha km wanavyotaka.

ITV iache ushabiki wa kipuuzi Serikali yetu ni makini sana na usalama wa nchi yetu. Km hawawezi kuunga jitihada za serikali au wana mgombea wao ni bora wakae kimya.

Serikali iwafuatilie kwa umakini wakiendelea na ushabiki wa hao wahuni serikali isisite kuwachukulia hatua kali. Amani, utulivu, umoja wa kitaifa na usalama ni tunu za Taifa letu never let anyone to take it for granted.
Sasa naona unaanza kuhama kutoka kwenye Ubinadamu, unatanguliza mahaba ya kisiasa .unataka vitangaze unavyotaka wewe tu
 
Huku Mbeya tunasea 'I tifwii'.

Sasa unaposema ITV unatuchanganya kidogo.
 
Siku za karibuni ITV imekuwa shabiki wa siasa za hovyo za watu kama Lissu, chombo hiki kinajua kabisa Lissu kauli zake ni hatari kwa utulivu na amani ya nchi.

Badala waelimishe wananchi wamekuwa chombo cha kuokoteza kila kikundi kinachoenda kinyume na jitihada za serikali. Wajitathmini, wajitafakari hayo matangazo yao watayafanyia wapi na kwa nani hao wakiweza kukinukisha km wanavyotaka.

ITV iache ushabiki wa kipuuzi Serikali yetu ni makini sana na usalama wa nchi yetu. Km hawawezi kuunga jitihada za serikali au wana mgombea wao ni bora wakae kimya.

Serikali iwafuatilie kwa umakini wakiendelea na ushabiki wa hao wahuni serikali isisite kuwachukulia hatua kali. Amani, utulivu, umoja wa kitaifa na usalama ni tunu za Taifa letu never let anyone to take it for granted.
Ni hapa juzi kuna bwana moja sijui m/kiti wa chadema mkoa wa Ruvuma alikuwa anatumia lugha chafu ya kihuni, ya kichochezi eti "Lissu angeamrisha wananchi kuwashughulikia polisi ingekuwaje? Na ITV ikampatia air time kubwa ht Rais wa nchi hapewi hivyo. Ht leo ktk jumbe za Pasaka wamechagua ujumbe usio na nia njema, Lissu ni mtuhumiwa kesi iko mahakamani, TEC ni nani kuingilia taratibu za serikali na mahakama? Wanataka nchi hii isitawalike? Zilitolewa jumbe nzuri sana ITV mkapuuza mkaona jumbe za kihaini zisizoheshimu na kutii mamlaka ndio za maana. Mjitathmini.

Pamoja na promo zooooote za Mama bado mnalalamika?

Angalia tbc1 basi
 
A

Tazama TBC Mkuu , ITV wanaangalia habari zinazouza ndo wanarusha .

Kwahiyo Kama Lissu ndo anauzika kwanini wasimrushe .

ITV wanafanya Biashara hawawezi kupost Habari za sisiemu wakati hazifanyi vizuri sokoni
 
Siku za karibuni ITV imekuwa shabiki wa siasa za hovyo za watu kama Lissu, chombo hiki kinajua kabisa Lissu kauli zake ni hatari kwa utulivu na amani ya nchi.

Badala waelimishe wananchi wamekuwa chombo cha kuokoteza kila kikundi kinachoenda kinyume na jitihada za serikali. Wajitathmini, wajitafakari hayo matangazo yao watayafanyia wapi na kwa nani hao wakiweza kukinukisha km wanavyotaka.

ITV iache ushabiki wa kipuuzi Serikali yetu ni makini sana na usalama wa nchi yetu. Km hawawezi kuunga jitihada za serikali au wana mgombea wao ni bora wakae kimya.

Serikali iwafuatilie kwa umakini wakiendelea na ushabiki wa hao wahuni serikali isisite kuwachukulia hatua kali. Amani, utulivu, umoja wa kitaifa na usalama ni tunu za Taifa letu never let anyone to take it for granted.
Ni hapa juzi kuna bwana moja sijui m/kiti wa chadema mkoa wa Ruvuma alikuwa anatumia lugha chafu ya kihuni, ya kichochezi eti "Lissu angeamrisha wananchi kuwashughulikia polisi ingekuwaje? Na ITV ikampatia air time kubwa ht Rais wa nchi hapewi hivyo. Ht leo ktk jumbe za Pasaka wamechagua ujumbe usio na nia njema, Lissu ni mtuhumiwa kesi iko mahakamani, TEC ni nani kuingilia taratibu za serikali na mahakama? Wanataka nchi hii isitawalike? Zilitolewa jumbe nzuri sana ITV mkapuuza mkaona jumbe za kihaini zisizoheshimu na kutii mamlaka ndio za maana. Mjitathmini.
Kunaanza kupambazuka mafisadi mmoja baada ya mwingine chupi zinabana,mpaka kufika octoba mtakuwa mmetapika mlichoiba
 
well done comrade 💪👍
 
Ng'ombe wa samia wanaendelea kupata kibano kila kona ya Nchi😂😂, kama ng'ombe wanapata tabu hivi huyo mwenye ng'ombe wake sindio amechanganyikiwa kabisa. MBOWE alichuchelewesha sana!.
 
Siku za karibuni ITV imekuwa shabiki wa siasa za hovyo za watu kama Lissu, chombo hiki kinajua kabisa Lissu kauli zake ni hatari kwa utulivu na amani ya nchi.

Badala waelimishe wananchi wamekuwa chombo cha kuokoteza kila kikundi kinachoenda kinyume na jitihada za serikali. Wajitathmini, wajitafakari hayo matangazo yao watayafanyia wapi na kwa nani hao wakiweza kukinukisha km wanavyotaka.

ITV iache ushabiki wa kipuuzi Serikali yetu ni makini sana na usalama wa nchi yetu. Km hawawezi kuunga jitihada za serikali au wana mgombea wao ni bora wakae kimya.

Serikali iwafuatilie kwa umakini wakiendelea na ushabiki wa hao wahuni serikali isisite kuwachukulia hatua kali. Amani, utulivu, umoja wa kitaifa na usalama ni tunu za Taifa letu never let anyone to take it for granted.
Ni hapa juzi kuna bwana moja sijui m/kiti wa chadema mkoa wa Ruvuma alikuwa anatumia lugha chafu ya kihuni, ya kichochezi eti "Lissu angeamrisha wananchi kuwashughulikia polisi ingekuwaje? Na ITV ikampatia air time kubwa ht Rais wa nchi hapewi hivyo. Ht leo ktk jumbe za Pasaka wamechagua ujumbe usio na nia njema, Lissu ni mtuhumiwa kesi iko mahakamani, TEC ni nani kuingilia taratibu za serikali na mahakama? Wanataka nchi hii isitawalike? Zilitolewa jumbe nzuri sana ITV mkapuuza mkaona jumbe za kihaini zisizoheshimu na kutii mamlaka ndio za maana. Mjitathmini.
UTULIVU KWAKO AMBAYE HUJAPOTELEWA NA WATOTO AU NDUGU YAKO HAJAFA KAMA KIBAO
 
Woke Mind.
Wewe ni "Woke Mind viruses "
 
Kuna watu mnajifanyaga hii nchi ni ya kwenu pekee yenu...umepanic pole
 
Back
Top Bottom