Utopolo mkae kwa kutulia, Pablo yupo sana.
Anzisha timu yako kocha awe Gomez sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gomez anajua Sana kuliko pablo
Punguza Munkali na gemu ijayo mnapigwaAnzisha timu yako kocha awe Gomez sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timu yako unaomba uachiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si uichukue tu kiulaini?Hatutaki Pablo aondoke, tunataka Mo atuachie timu yetu.
Una B20?Hatutaki Pablo aondoke, tunataka Mo atuachie timu yetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguza Munkali na gemu ijayo mnapigwa
acha povu kama vipi kalisha nyungulusi zako chini dogo.Hivi wewe Erythrocyte huwa unafanya Kazi Sana ngapi ndugu?Massa yote upo Jf unaanzisha tu mathread!!Au unalipwa na JF kupost?Lakini mbona thread zenyewe ni poor Sana,wala sio za fikra pevu,wanaweza kulipia ujinga kweli??
Wewe ni kielelezo cha vijana wavivu na wapumbavu wanaofikiri maisha ni kushinda tu mtandaoni na kupost chochote watu wachangie...Kwahiyo watu wakichangia ubwege wako unajiona mjaaaaanja mwenyewe,unaishi kwa shemeji nini?
Kocha Pablo Hamna kitu tumepigwa, mugalu, kanute, kagere, Boko Haram, mkude ,erasto nyoni, mudhamiru ,wawa uwezo wao ndo umefika mwisho Watafute wachezaj wazur wa maana Kama wako serious mambo ya propaganda yamepitwa na wakat
ukitizama propaganda tulizopigwa wakati anakuja vs reality iliyopo utagundua tulivopigwa na kitu kizito utosini.
Sawa RAFA BENITEZKocha hajui mahitaji ya uwanja kwa wachezaji gani. Leo ilibidi Chama in toka awali, Morison In, na angetumia fowadi mmoja tu kwani Mwigalu sio mchezaji wa kuaminika hata ukimwacha na goli peke yake.
Mbona hii sikumsikia?Lakini mechi alizoshinda ni nyingi kuliko alizopoteza ama kutoa sare, yaani kosa moja lifute mema elfu moja? ila leo nimebaki kumtafakari sana kitendo cha kumuingiza chama halafu badae anamuuliza chama vipi mbona hamna goli? Chama akamjibu muda bado. Yaani kocha badala ya ku switch mbinu na ufundi mbali mbali badala yake unamuuliza mchezaji kulikoni. Dah