Siku za kocha Pablo wa Simba zaanza kuhesabika

Siku za kocha Pablo wa Simba zaanza kuhesabika

Tatizo makampuni ya betting yanaharibu Sana mpira. There is wide use of occult powers in sports by betting houses.
 
Mimi kwa Leo simlaumu Sana kocha maana game haikuhitaji mbinu Zaid ya butua butua kulingana na pitch.

Sema nimepata waswas baada ya kuona kaanza Gadiel dhidi ya Zimbwe hapo tu nikajua leo hatupati kitu ,then Zimbwe ameingia dakika ya 70 .

Kwa Leo namuweka kiporo namsubiri kaitaba ,ingawa roho inaniambia hamalizi msimu huyu kocha.
 
Kocha Pablo Hamna kitu tumepigwa, mugalu, kanute, kagere, Boko Haram, mkude ,erasto nyoni, mudhamiru ,wawa uwezo wao ndo umefika mwisho Watafute wachezaj wazur wa maana Kama wako serious mambo ya propaganda yamepitwa na wakat
 
Tumempatia mechi 4 zijazo ahakikishe timu ina vuna pointi si chini ya 10 la sivyo....!
 
Hivi wewe Erythrocyte huwa unafanya Kazi Sana ngapi ndugu?Massa yote upo Jf unaanzisha tu mathread!!Au unalipwa na JF kupost?Lakini mbona thread zenyewe ni poor Sana,wala sio za fikra pevu,wanaweza kulipia ujinga kweli??

Wewe ni kielelezo cha vijana wavivu na wapumbavu wanaofikiri maisha ni kushinda tu mtandaoni na kupost chochote watu wachangie...Kwahiyo watu wakichangia ubwege wako unajiona mjaaaaanja mwenyewe,unaishi kwa shemeji nini?
acha povu kama vipi kalisha nyungulusi zako chini dogo.
 
Kuhusu hawa wachezaji uliowataja,Pablo afanye nini? Ndo aliowakuta
Kocha Pablo Hamna kitu tumepigwa, mugalu, kanute, kagere, Boko Haram, mkude ,erasto nyoni, mudhamiru ,wawa uwezo wao ndo umefika mwisho Watafute wachezaj wazur wa maana Kama wako serious mambo ya propaganda yamepitwa na wakat
 
Kocha hajui mahitaji ya uwanja kwa wachezaji gani. Leo ilibidi Chama in toka awali, Morison In, na angetumia fowadi mmoja tu kwani Mwigalu sio mchezaji wa kuaminika hata ukimwacha na goli peke yake.
Sawa RAFA BENITEZ
 
Lakini mechi alizoshinda ni nyingi kuliko alizopoteza ama kutoa sare, yaani kosa moja lifute mema elfu moja? ila leo nimebaki kumtafakari sana kitendo cha kumuingiza chama halafu badae anamuuliza chama vipi mbona hamna goli? Chama akamjibu muda bado. Yaani kocha badala ya ku switch mbinu na ufundi mbali mbali badala yake unamuuliza mchezaji kulikoni. Dah
Mbona hii sikumsikia?
 
Wachezaji wa zamani wamechoka....wapya waliosajiliwa wote- kutoa Inonga....viwango vyao haviridhishi....sioni kosa la kocha- kosa liko kwa viongozi wa Simba- kuanzia CEO na kamati yake ya usajili- wamechemka kusajili dilisha kubwa- dilisha dogo pia wamechemka- plan mbovu kabisa- ninaanza kuwa na mashaka- na uwezo wa CEO- angalia wenzetu wamesajili vizuri- na bado Wana akiba ya nafasi za wageni- kwa mfano kipi kiliwafanya wasimsajili Aucho- Aucho mwenyewe anasema Simba walikuja baadae wakawa kimya- Kahata kwa nini aliachwa-hata Gomes alitolewa kafara tu- tatizo kubwa ni viwango vya wachezaji duni... hasa kuanzia namba sita mpaka kumi na moja- toka msimu umeanza chini ya Gomes- timu haukuwa vizuri- matokeo tunepata kwa tabu Sana.
 
Back
Top Bottom