Kwa taarifa yako huku chádema hatuna pesá zakuhonga istoshe tunashindia mlo mmoja kwa siku mda mwingine tusile huku ni harakat tuHuyu naye ni mnafiki kabisa toka alipoanza kulipwa na kikundi cha chadema
Mungu yupo usijalinyote nawashuru sana kwa msaada wenu mawazo........jana ndio amelazwa , na leo yaani [jumatano ya leo 12/4/2017] ....nadhani jioni hii atawekewa dilipu za uchungu........daktari amesema ....uzito wa mtoto ni mzuri tu..japo tumeambia kutokana utral ya BMC, mtoto ana kilo 3,,,,,,[kule pa mwanzo tuliambiwa ana kilo 3.2kg]..........hawatamurusu kwenda nyumba,.....placenta imechoka .
nilikuwa nimepotea kidogo kwa ajili ya pilika pilika za huko ,,,,,,nawashuru sana,,,,
duwa zenu jamani.
Mungu atakujalia mkuu,nyote nawashuru sana kwa msaada wenu mawazo........jana ndio amelazwa , na leo yaani [jumatano ya leo 12/4/2017] ....nadhani jioni hii atawekewa dilipu za uchungu........daktari amesema ....uzito wa mtoto ni mzuri tu..japo tumeambia kutokana utral ya BMC, mtoto ana kilo 3,,,,,,[kule pa mwanzo tuliambiwa ana kilo 3.2kg]..........hawatamurusu kwenda nyumba,.....placenta imechoka .
nilikuwa nimepotea kidogo kwa ajili ya pilika pilika za huko ,,,,,,nawashuru sana,,,,
duwa zenu jamani.
Operation inahitajika kwa mke wako by a midwife
kaka Mungu ni mwema atawasaidiahabari wa ndugu,
mke wangu ana ujauzito , ambao makisio ya kujifungua yalikuwa mwezi wa tatu tarehe 14,
hata hivyo taarifa zakiliniki zilitushitua pale walipo sema kuwa katoto ni kadogo sana na kanaonekana kama vile ni ka wiki 28,,,,hii ni taarifa ya kama wiki mbili zilipita.
baada ya hapo tulipiga moyo konde na kuamua kwenda kwa dakitari wa akina mama [ specialist]
Doctor alituhoji maswali mengi, baadhi aliuza tarehe ya mwisho ya hedhi ilikuwa lini?, tukamwambia tarehe 6/6/2016,,,,je?, mtoto anacheza jibu ndio, .....baada ya hapo akalala mama kitandani akamuwekia kakifaa hivi, kama kabomba halafu akashika na tumbo, akasema mbona tumbo ndogo?, halafu na mtoto kama vile hajaingia kwenye nyonga...tusituka tena .
baada ya hapo , akatuandikia vipimo 2, utral sound kuangalia mtoto yuko je?, na kingine cha kupima mapigo ya moyo wa mtoto....
matokeo, mtoto hana tatizo na ana kilo 3.2kg na anapumua vizuri lakini akasema placenta imeanza kuchoka.......tukaandikiwa tarehe ya kurudi yaani leo [ 9 / 3/4 / 17,] jioni saa 12, ili alazwe na awekewe dilipu za uchungu wa kujifungua.
USHAURI NINAOMBA....mama anaoneka mwenye nguvu , je? tunaweza subiri mpaka mama apate
uchungu wa kawaida wa kujifungua?.
make tunaongopa huenda kama atawekewa dilipu na asifunguke njia .kifuatacho kinaweza kuwa operation......ujauzito mpaka sasa una zaidi ya wiki 43
naombeni ushauri wenu
asanteni.
ansante sana...amejifungua tayari... hat hivyo ......napenda utambue kuwa hata oparation , hujipangii.....hii ni njia ya mwisho kabisa baada ya njia za kawaida kufeli...wao ndio wanaoamua tufanye hivi au vile ,,,baada ya uchunguzi .Mtapoteza mtoto akafanyiwe oparation fasta