Siku za kujifungua zimepitiliza, msaada.

Siku za kujifungua zimepitiliza, msaada.

Huyu naye ni mnafiki kabisa toka alipoanza kulipwa na kikundi cha chadema
Kwa taarifa yako huku chádema hatuna pesá zakuhonga istoshe tunashindia mlo mmoja kwa siku mda mwingine tusile huku ni harakat tu
nyote nawashuru sana kwa msaada wenu mawazo........jana ndio amelazwa , na leo yaani [jumatano ya leo 12/4/2017] ....nadhani jioni hii atawekewa dilipu za uchungu........daktari amesema ....uzito wa mtoto ni mzuri tu..japo tumeambia kutokana utral ya BMC, mtoto ana kilo 3,,,,,,[kule pa mwanzo tuliambiwa ana kilo 3.2kg]..........hawatamurusu kwenda nyumba,.....placenta imechoka .

nilikuwa nimepotea kidogo kwa ajili ya pilika pilika za huko ,,,,,,nawashuru sana,,,,

duwa zenu jamani.
Mungu yupo usijali
 
nyote nawashuru sana kwa msaada wenu mawazo........jana ndio amelazwa , na leo yaani [jumatano ya leo 12/4/2017] ....nadhani jioni hii atawekewa dilipu za uchungu........daktari amesema ....uzito wa mtoto ni mzuri tu..japo tumeambia kutokana utral ya BMC, mtoto ana kilo 3,,,,,,[kule pa mwanzo tuliambiwa ana kilo 3.2kg]..........hawatamurusu kwenda nyumba,.....placenta imechoka .

nilikuwa nimepotea kidogo kwa ajili ya pilika pilika za huko ,,,,,,nawashuru sana,,,,

duwa zenu jamani.
Mungu atakujalia mkuu,
 
Operation inahitajika kwa mke wako by a midwife


asanteni......amejifungua. tena salama kbs......hata hivyo sidhani kama unaweza sema nifanyieni operation?.....wao wanatafiti , kisha wanaamua...njia gn waaze nayo....ikifeli plan A ...BC plan B , HUTUMIKA.
 
habari wa ndugu,

mke wangu ana ujauzito , ambao makisio ya kujifungua yalikuwa mwezi wa tatu tarehe 14,
hata hivyo taarifa zakiliniki zilitushitua pale walipo sema kuwa katoto ni kadogo sana na kanaonekana kama vile ni ka wiki 28,,,,hii ni taarifa ya kama wiki mbili zilipita.

baada ya hapo tulipiga moyo konde na kuamua kwenda kwa dakitari wa akina mama [ specialist]
Doctor alituhoji maswali mengi, baadhi aliuza tarehe ya mwisho ya hedhi ilikuwa lini?, tukamwambia tarehe 6/6/2016,,,,je?, mtoto anacheza jibu ndio, .....baada ya hapo akalala mama kitandani akamuwekia kakifaa hivi, kama kabomba halafu akashika na tumbo, akasema mbona tumbo ndogo?, halafu na mtoto kama vile hajaingia kwenye nyonga...tusituka tena .

baada ya hapo , akatuandikia vipimo 2, utral sound kuangalia mtoto yuko je?, na kingine cha kupima mapigo ya moyo wa mtoto....

matokeo, mtoto hana tatizo na ana kilo 3.2kg na anapumua vizuri lakini akasema placenta imeanza kuchoka.......tukaandikiwa tarehe ya kurudi yaani leo [ 9 / 3/4 / 17,] jioni saa 12, ili alazwe na awekewe dilipu za uchungu wa kujifungua.

USHAURI NINAOMBA....mama anaoneka mwenye nguvu , je? tunaweza subiri mpaka mama apate
uchungu wa kawaida wa kujifungua?.
make tunaongopa huenda kama atawekewa dilipu na asifunguke njia .kifuatacho kinaweza kuwa operation......ujauzito mpaka sasa una zaidi ya wiki 43


naombeni ushauri wenu
asanteni.
kaka Mungu ni mwema atawasaidia
zaidi tu jitahidin kufuata ushaur wa dr
 
Pole sana mkuu. Usihofu ndg yangu hakuna jambo gumu la kumshinda Mungu na mkono wake siyo mfupi hata ushindwe kugusa. Usijiulize maswali mengi. Kama yuko hospital alika mtumishi mwenye upako wa kutosha na mwenye macho ya rohoni Bwana atamtumia na atamwombea Bwana atatenda. Hata kama hujaokoka au huamin habari za wokovu fanya tu hivyo me.gine yatafuata baadaye.
 
Mtapoteza mtoto akafanyiwe oparation fasta
ansante sana...amejifungua tayari... hat hivyo ......napenda utambue kuwa hata oparation , hujipangii.....hii ni njia ya mwisho kabisa baada ya njia za kawaida kufeli...wao ndio wanaoamua tufanye hivi au vile ,,,baada ya uchunguzi .
 
Back
Top Bottom