Kuanzia siku ya 10 tangu ulipoanza MP mpe mumeo.mida ya alfajiri saa 10 au 11.Pia mpe Doggy style au kifo cha mende.Halafu akishakojoa lala kwa muda usikurupuke kwenda kunawa.Pia waweza jaribu kama miezi 3 ndiyo mkafanikiwaHabari zenu wana jf. Nimeolewa nina miezi sita sasa kwenye ndoa yangu ila sijafanikiwa kupata ujauzito.nimejaribu kukutana na mume wangu siku za hatari kuanzia siku ya kumi na moja bila mafanikio. Hospitali nimepewa dawa za kukomaza mayai nilitumia mwezi uliopita.na siku zangu huwa na pata tarehe 4 japo mwezi huu nimepata tarehe tano. Je nifanyaje kwa sasa au nikutane nae siku zipi? Nawasilisha
Mimi nataka mtoto wa kike! Siku nzur ni zipi kwa mke wangu! Samahani kuingilia uzi wa mtumzunguko wako ni wa siku ngapi? huwa unajijua unapokuwa kwenye ovulation? kama hujui chukua namba ya mzunguko wako toa 14. namba utakayoipata ndio siku yako ya ovulation. Yai huwa tayari kurutubishwa siku 14 kabla hujaanza tena mzunguko. Kwa mfano mtu mwenye mzunguko wa siku 26 ovulation hufanyika siku ya 12. hapo ongeza iku mbili mbele na mbili nyuma yaani kuanzia 10 hadi 14 ni kipindi kizuri.
tatizo atakuwa ameolewa na 30 sasa ana hofu na umriMapema sana hata hivyo,be patient
Kupata mtoto wa kike au wa kiume mara nyingi NJ majaaliwa.Mimi nataka mtoto wa kike! Siku nzur ni zipi kwa mke wangu! Samahani kuingilia uzi wa mtu
Asante sana! Ili awe wa kike! timing ziweje mkuu! Mungu mwema ktk yote!Kupata mtoto wa kike au wa kiume mara nyingi NJ majaaliwa.
Kisayansi tunaamini mtoto wa kiume hupatikana siku ya evolution yani yai kutoka kwa mwanamke mfano kama Ana siku 28 basi ni siku ya 14... Hvyo mkifanya exactly siku hiyo wakati yai linaanguka basi hiyo ndio siku ya kidume...
Kufanya nje ya siku ya evolution.. Ina maana baada ya evolution mfano kama evolution ni siku ya 14 basi ni budi kufanya kuanzia siku ya 15 yai likishaenguliwa....Asante sana! Ili awe wa kike! timing ziweje mkuu! Mungu mwema ktk yote!
Asante sana kwa mwanga mkuu! Na je ikitokea nitafanya kabla ya hizo siku (14, 15 na 16 ) probably ya matokeo yake yakoje?Kufanya nje ya siku ya evolution.. Ina maana baada ya evolution mfano kama evolution ni siku ya 14 basi ni budi kufanya kuanzia siku ya 15 yai likishaenguliwa....
Kwa kuwa yai la kike uishi siku 3 yani masaa 72 basi utakua na masaa 48 ya kutafuta mtoto... Yani siku ya 15 na 16....
Karibu
Mkuu kabla ya hapo ni probability.Asante sana kwa mwanga mkuu! Na je ikitokea nitafanya kabla ya hizo siku (14, 15 na 16 ) probably ya matokeo yake yakoje?
Usinichoke mkuu! Asante