Siku za kupata ujauzito

Siku za kupata ujauzito

Inawezekana tatizo lisiwe kwako cha msingi uende na mwezi wako naye afanyiwe kipimo cha spem analysis ili kufaham kama mbegu zake zko vizuri
Hospital gani wanafanya ivyo vipimo??
 
Mungu na akupe haja ya moyo wako.Kama uko DSM nenda pale mbuyuni katikati ya Mataa ya St. Peters na kituo cha mbuyuni kwenda posta/mwenge kuna clinic inaitwa Marie Clinic ya Prof. Dr. Mgaya. Atakupa ushauri mzuri na soon u wl b called a mam.Kila la kheri .Nina shuhuda nyingi kwa waliokwenda pale na kupata ujauzito ila katika yoooote mwamini Mungu Muweza wa Yooote.
Mbuyuni ipo wapi tafadhari??
 
Kituo kinajulikana kama namanga pia kama sikosei. Ni katikati ya namanga na st peters, ally hassan mwingi road.
Yes ni sawa kabisa.ila kwa sasa huyu Prof yuko kwenye msiba wa mwanae(Dr. Mgaya mfanyakazi wa UDSM) aliyefariki kwa ajali ya gari iliyoungua moto wiki iliyopita pale africana (mbezi).wanazika leo na hivyo labda kuanzia wiki ijayo ndiyo atalatikana.Mungu awatie nguvu na faraja Prof. Dr. Mgaya na familia.
 
Kuna Dk mmoja nilimsikiliza, anadai kitaalam mwanamke anapoanza brd ile cku ya kwanza kabisa inamaanisha kuna uwezekano Yai lingine likawa limeshuka,, na hiyo ni sababu kubwa wanaume wengi hukataa mimba kisa tu mwanamke alikuwa amemaliza jana

So, siku ya kwanza ya brd ndo cku ya kwanza ya mzunguko, kama bld ni cku 5 inamaana tayari una cku 5 ktk mzunguko wa cku 28,,kwa hiyo Yai linakuwa hot cku zote za bld na cku kadhaa baada ya bld kukamilisha siku saba. (Ni kwa mujibu wa Dk mmoja kutoka kituo cha tv)..

Niliamini kwa sababu kuna mtu namfaham alipata mimba Mara baada ya kusex siku moja baada ya bld. Mwanaume akakataa mimba ila mtoto sura yake na suport ya DNA vikamuumbua...kutokea hapo najua kila mdada ana siku zake na wengine hadi wanaingia kabulini hawatoweza kuzijua

Ushauri,, kama unatafuta mtoto jitahidi kumpikia mumeo vizuuri, akishiba unawaenzi chadema kwa kuweka alama Yao ile kwa miguu,, then una......habari za kufika kileleni unaweza weka pembeni kwanza , mana litakuwa ni zoezi la kila cku(23), lazima uchubuke
 
Back
Top Bottom