Siku Zari akipeleka kesi ya matunzo ya watoto wawili mahakamani,M10 kwa mwezi,utakuwa mwanzo wa Diamond kufilisika!

Usinililie Mimi,sikukuleta mjini,pambana na hali yako pimbi wewe
Khanisi wewe kumbe hapa mjini umeletwa!!

Mimi nimezaliwa ocean road na isitoshe wazawa wa Dar hatujivunii Udaresalama ni ujinga mtupu tena wengi sasa hivi hawana time na Dar, wakuja kama wewe ndio unababaika na Dar.
 
Wewe ni muislamu ubwawa wa kwenye shughuli?

Weka aya inayosema hayo nikujibu fasta
Unaona sasa ulivyo choko? Ni wapi nimeandika kwamba mimi ni mwislamu?

Kujuwa vifungu vya biblia kunahitaji uwe mkristo.

Usiquote tena kahaba wewe.
 
Wanaomwona mtoa post yupo wrong wajaribu kuonesha kwa hoja na sio hisia tu eti amemwazia mabaya Diamond [emoji815] muda huu wa asubuhi maana km yakitokea ya mtoa post ni wazi [emoji815] atageuka mufilisi
 
Mtu na akili zako timamu asbhi yote hii unamuwazia mwezio afilisike wakati wewe bado unategemea chupi ununuliwe na bado huenda unakula ugali anionunua baba ako unaishi kwenu unamnyima uhuru mama ako hata kiwanja huna unaiita nyumba ya mtu kibanda mlaumu baba ako kwann hakutafuta hela angalau ukapata hata kufungua mgahawa
 
Khanisi wewe kumbe hapa mjini umeletwa!!

Mimi nimezaliwa ocean road na isitoshe wazawa wa Dar hatujivunii Udaresalama ni ujinga mtupu tena wengi sasa hivi hawana time na Dar, wakuja kama wewe ndio unababaika na Dar.
Wewe kinikia,kwenye post umeona neno Dar? Sasa Ocean Road hospitali chafu enzi hizo ndivyo ya kutuambia? Ukizaliwa Ocean road ukaishi mkuranga inakusaidia nini? Coz uzaliwapo unakuwa hujitambui
 
Mtu na akili zako timamu asbhi yote hii unamuwazia mwezio afilisike wakati wewe bado unategemea chupi ununuliwe na bado huenda unakula ugali anionunua baba ako unaishi kwenu unamnyima uhuru mama ako hata kiwanja huna unaiita nyumba ya mtu kibanda mlaumu baba ako kwann hakutafuta hela angalau ukapata hata kufungua mgahawa
Post ya hovyo kabisa,hovyo kabisa kuliko zote katika Uzi huu
 
Unaona sasa ulivyo choko? Ni wapi nimeandika kwamba mimi ni mwislamu?

Kujuwa vifungu vya biblia kunahitaji uwe mkristo.

Usiquote tena kahaba wewe.
Nadhani ulizaliwa njiti,na baadaye ukabemendwa,ukubwani ukawa punga
 
Diamond anasema Zari si mkewe? La hasha,kwa sheria za Tanzania,ukikaa na mwanamke miaka miwili na ikathibitika watu wanajua huyo ni mke wa fulani, hiyo ni ndoa,inaitwa presumption of marriage

Na ikivunjwa,zile mali zilizopatikana kipindi cha mahusiano,hugawanywa kwa wanandoa,japo si sawa kwa sawa

Tujiandae kumuona zari akiibuka na Nyumba na Viwanja kadhaa vya diamond,na ninavyomuona zari,ataidaka ile Nyumba ya south afrika na diamond atabaki na kibanda umiza cha madale

Mbali na mwanandoa kupata haki yake, pia kisheria watoto chini ya miaka saba hudhaniwa wanafaa kukaaa na mama yao,hivyo baba wa mtoto hulazimika kuwapa matunzo kwa mujibu wa living standard yao,wamezoea kupata na ndege kwenda south na uganda mara kadhaa kwa mwezi,haya matunzo najua hayatapungua milioni kumi kwa mwezi kwa watoto wawili

Diamond utapiga show mpaka manzese ili upate hela hizo,na bado yule dada uliyezaa naye sijui ataomba mahakama ikuamuru uwe unampa shilingi ngapi kwa mwezi

Nashauri wale waliozaa naye wafunguke kwa wingi na wafungue kesi mahakamani,watakuwa wanajipatia vimilioni vya bure kila mwezi,asipolipa anatupwa segere matata(segerea) akanyee debe

Natabiri tu kuwa utafilisika soon,kipesa na kimashairi,na utajiunga na chidi na Mr nice
mod naomba ruhusa nitukane kidogo tuu jaman hata tusi moja tuu maana hii ngu*uwe inaleta dharau za kijinga.
unakuta fal* bado linakaa kwao, siku akizinguana na babaake anaenda kuomba mlinzi amuibie chakula aafu leo anabana mashavu ya m*t*ko anasema diamond anaishi madale kwenye kibanda umiza?
ndugu yangu kama we ni wakiume kwa stail hii omba KY iruhusiwe tena maana bila kil*inishi utaumizwa sana na haya maisha.

unafaa utwangwe comment kama hiyo apo. ndege wewe.
 
Hivi unajua kwamba zari anaweza kumwambia diamond aache mziki na afunge vyanzo vyake vyote vya mapato Kisha akachukua yeye jukumu la kumlea huyo diamond plus familia yake???
 
mod naomba ruhusa nitukane kidogo tuu jaman hata tusi moja tuu maana hii ngu*uwe inaleta dharau za kijinga.
unakuta fal* bado linakaa kwao, siku akizinguana na babaake anaenda kuomba mlinzi amuibie chakula aafu leo anabana mashavu ya m*t*ko anasema diamond anaishi madale kwenye kibanda umiza?
ndugu yangu kama we ni wakiume kwa stail hii omba KY iruhusiwe tena maana bila kil*inishi utaumizwa sana na haya maisha.

unafaa utwangwe comment kama hiyo apo. ndege wewe.

Komenti ya kibwabwa
 
Diamond anasema Zari si mkewe? La hasha,kwa sheria za Tanzania,ukikaa na mwanamke miaka miwili na ikathibitika watu wanajua huyo ni mke wa fulani, hiyo ni ndoa,inaitwa presumption of marriage

Na ikivunjwa,zile mali zilizopatikana kipindi cha mahusiano,hugawanywa kwa wanandoa,japo si sawa kwa sawa

Tujiandae kumuona zari akiibuka na Nyumba na Viwanja kadhaa vya diamond,na ninavyomuona zari,ataidaka ile Nyumba ya south afrika na diamond atabaki na kibanda umiza cha madale

Mbali na mwanandoa kupata haki yake, pia kisheria watoto chini ya miaka saba hudhaniwa wanafaa kukaaa na mama yao,hivyo baba wa mtoto hulazimika kuwapa matunzo kwa mujibu wa living standard yao,wamezoea kupata na ndege kwenda south na uganda mara kadhaa kwa mwezi,haya matunzo najua hayatapungua milioni kumi kwa mwezi kwa watoto wawili

Diamond utapiga show mpaka manzese ili upate hela hizo,na bado yule dada uliyezaa naye sijui ataomba mahakama ikuamuru uwe unampa shilingi ngapi kwa mwezi

Nashauri wale waliozaa naye wafunguke kwa wingi na wafungue kesi mahakamani,watakuwa wanajipatia vimilioni vya bure kila mwezi,asipolipa anatupwa segere matata(segerea) akanyee debe

Natabiri tu kuwa utafilisika soon,kipesa na kimashairi,na utajiunga na chidi na Mr nice
Unajua kuwa sheria pia itaangalia je Zari ni kweli hana uwezo wa kuwatunza watoto??
Alafu M10 kwa malezi ya mwezi, mwaka au for good??
 
Na yeye atapeleka DNA ya Nillan.
Hamna cha DNA wala nini,kwanza akipeleka anajua atakuwa anajipikia skendo kubwa sana

Huyo chawote mobeto anayesema huyo mtoto wa Domo,walimpima lini?

Au Dai kawa hondohondo mlezi wa wana hata wodi nzima ya wazazi muhimbili wamama wakisema watoto wao wamezaa na Domo,yeye ataenda kuwabeba tu?
 
Diamond anasema Zari si mkewe? La hasha,kwa sheria za Tanzania,ukikaa na mwanamke miaka miwili na ikathibitika watu wanajua huyo ni mke wa fulani, hiyo ni ndoa,inaitwa presumption of marriage

Na ikivunjwa,zile mali zilizopatikana kipindi cha mahusiano,hugawanywa kwa wanandoa,japo si sawa kwa sawa

Tujiandae kumuona zari akiibuka na Nyumba na Viwanja kadhaa vya diamond,na ninavyomuona zari,ataidaka ile Nyumba ya south afrika na diamond atabaki na kibanda umiza cha madale

Mbali na mwanandoa kupata haki yake, pia kisheria watoto chini ya miaka saba hudhaniwa wanafaa kukaaa na mama yao,hivyo baba wa mtoto hulazimika kuwapa matunzo kwa mujibu wa living standard yao,wamezoea kupata na ndege kwenda south na uganda mara kadhaa kwa mwezi,haya matunzo najua hayatapungua milioni kumi kwa mwezi kwa watoto wawili

Diamond utapiga show mpaka manzese ili upate hela hizo,na bado yule dada uliyezaa naye sijui ataomba mahakama ikuamuru uwe unampa shilingi ngapi kwa mwezi

Nashauri wale waliozaa naye wafunguke kwa wingi na wafungue kesi mahakamani,watakuwa wanajipatia vimilioni vya bure kila mwezi,asipolipa anatupwa segere matata(segerea) akanyee debe

Natabiri tu kuwa utafilisika soon,kipesa na kimashairi,na utajiunga na chidi na Mr nice
Hiyo dhana ya ndoa,inataka muwe mmekaa pamoja ,mfululizo miaka miwili.Huyu Zari ni kama visting profesa,kiguu na njia hivyo sharti la kukaa pamoja mfululizo wa miaka miwili inagoma.Pili,inatakiwa mmoja kati yao au wote wasiwe kwenye ndoa inayotambulika,je,Ndoa ya Zari na Ivan inatambulika ? Kama ndiyo ,je,ilivunjwa kwa mujibu wa sheria aubwalitengana tu? Kama inatambulika na haikuvunjwa kisheria,basi,presumption of marriage inakataa.
 
Back
Top Bottom