Funa the Wild
Senior Member
- Aug 1, 2022
- 167
- 282
View attachment 2830199
Mwaka 2023 ulianza kama utani siku zikazidi kwenda nusu mwaka tukaumaliza watu walizidi kujiuliza mengi "miezi sita imeishaje au mwaka ni mfupi? lakini yote kwa yote ndiyo hali halisi huwezi zuia siku zisisimame.
Wengi wameweka mipango ya mwaka kuna waliofanikisha, kuna wanaondelea kufanikisha, kuna waliofikia nusu, kuna ambao hawaoni mafanikio mbaya zaidi kuna waliotangulia mbele ya haki na kuacha mipango yao lakini yote ni kheri jicho la Mungu alijasinzia tuzidi kuombeana.
Mabadiliko huweza fanyika ndani ya dakika moja na makubwa yakatokea kikubwa kuzidi kuwa na nia na ulichokipanga kutimiza.
Ni mwezi umesalia tuumalize mwaka 2023 lakini kabla mwaka haujaisha una kila sababu ya kujipongeza kwa hatua ulizopiga tangu mwanzoni mwa mwaka hadi mwisho wa mwaka.
Karibu tutembelee hifadhi ya taifa Mikumi na maporomoko ya maji Choma kuanzia tarehe 16-17 December 2023.
Fanya booking sasa +255622174613