mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu awabariki mama zetu wa nguvu!! Endeleeni kuvuta hewa isiyogoshiwa!!
Lazima anenepe. Katua mzigo mkubwa wa utemi na ubabe uliomuelemea miaka mingi. Kila tabia iwe njema au mbaya huanzia nyumbani. Sasa jiulize kama nchi nzima ilielemewa huko nyumbani kulikuwaje.
Ni mwendo wa kipanya panya yaani ni kung'ata na kupuliza
Kanoga, smile bashasha na kawa shavu dodo.
mkuu unataka kutuambia nini hasa?
Wazee wa Nyungu...leo wote wamepiga barakoa...dunia hii nyiee!!!
Ana matatizo yake huyo!!mkuu unataka kutuambia nini hasa?
Kwa hiyo Kayafa alikuwa anamkondesha?