Siku zinakwenda kwa kasi sana. Mwonekano kama huu ulikuwa ni ndoto miezi michache iliyopita na watu ni wale wale

Kuna watu waliuliza ati nanihii ana nanihii
 
Hata makamanda wengi hivi sasa wameamua kuunga juhudi. Hakika mambo yanakwenda kwa kasi sana.
 
Raha kweli au nasema uongo ndugu zangu?
Si Hakuna tena hata intellegencia zionazo viashiria kwenye mikutano ya wapinzani pekee.
 
Kuna kundi la watu sehemu fulani ya sayari hii wakitutazama nahisi wanatudharau sana!! Wanajua kuwa tunafanya usanii ili mradi tu ..............!!!!!!!
 
Maisha ya mwanadamu ni mafupi Sana na upita kama upepo ni heri uyatumie kuwapa wengine furaha Ili kesho siku ya hukumu Mungu akuonee huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…