Siku zinakwenda kwa kasi sana. Mwonekano kama huu ulikuwa ni ndoto miezi michache iliyopita na watu ni wale wale

Na hapa walikuwa hawajachanjwa? Unafiki umepata autakaye! Hapa nj jana yake tu! Picha rasmi mbele ya kamera!! Walipofika beach wakiwa na waalikwa wengine sura halisi ikajitokeza!!
View attachment 1818607
Sasa unafiki hapo ni upi?

Kwa wao kujua kwamba wana kinga ya chanjo inayoongeza kinga mbali ya huko 'social distancing' na kuvaa barakoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…