Siku zingine tunaoujua Mpira hasa huu wa Kibongo wa Simba na Yanga tukiwa tunafanya ' Analysis ' zetu hapa JF muwe mnatuheshimu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nawasubiri kwa hamu wale ambao ' walinidhaki ' mno pale niliposema kuwa tayari Simba SC tumeshatolewa katika hatua hii ya Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika na TP Mazembe waje tena waendelee na ' dhihaka ' zao Kwangu.

Kwa Kikosi kipi Simba SC iitoe TP Mazembe? Na kama si ' Uhodari ' wa Golikipa ' Tanzania One ' kwa sasa Aishi Salum Manula leo ' Vyuma ' vingezidi badala ya hivyo ' Vinne ' sasa tungekula ' Vyuma ' vitakatifu kama Sita au Nane hivi pale Lubumbashi.

Na kama kuna Mchezaji wa Simba SC ambaye leo ' amenikera ' japo najua msiojua Mpira mtabisha na mtamtetea kwakuwa tu amefunga Goli basi ni Emanuel Okwi. Na nitakuwa Mtu wa Kwanza ' Kuwadharau ' Kaizer Chiefs au Orlando Pirates wanaohusishwa na Kumuhitaji kama wakimchukua kweli kwani Okwi leo amecheza chini ya Kiwango na ameonyesha Vitendo vingi vya Utovu wa Nidhamu ambavyo hukutegemea Kuviona kutoka Kwake hasa kama ' Professional Player ' tena wa kutoka Taifa ambalo lina Maendeleo makubwa ya Soka kama la Uganda.

Kama kuna Mchezaji ambaye kila Siku Kiwango chake kinarudi na kuongezeka basi ni ' Mnyarwanda ' Kiungo Haruna Fadhili Hakizimana Niyonzima ' Mwamba wa Gisenyi ' kwani ' anajitoa ' kwa roho yake yote ' Kuipambania ' Klabu ya Simba SC mara kwa mara ikiwa inacheza na akipangwa. Nitashangaa kuona Simba SC bado haijamuongezea Mkataba au itamuacha.

Wachezaji ambao kwa sasa sidhani kama wanatufaa tena Simba SC ni Pascal Serge Wawa, Emanuel Okwi, Asante Kwasi, Nicolas Gyan, Zana Coulibaly na James Kotei. Beki kama Juuko Murshid anahitaji Kujengwa zaidi Kisaikolojia kwani Kwangu Mimi bado ndiyo Beki wangu imara wa Kati ( Kitasa / Libero ) isipokuwa nadhani bado Benchi la Ufundi halijamuamini kwa 100% na badala yake wamemuamini Beki ambaye sifichi GENTAMYCINE Mimi simkubali na simtaki hata kumuona Kikosini kama Pascal Serge Wawa kwani anapitika kirahisi mno kwa Timu yenye ' Washambuliaji ' wenye ' Uchu ' na wenye ' Kasi ' kuliko.

Timu irejee sasa na ijikite katika Kumalizia ' Viporo ' vyake ambavyo nina uhakika wa 100% kuwa Simba SC ' itavila ' vyote na bado Msimu huu wa TPL 2018 / 2019 Simba SC itautetea tena ' Ubingwa ' wake na mwakani tutashiriki tu tena hii Michuano ya Kimataifa ambayo sasa ni kama vile tumeanza Kuizoea.

Ombi langu tu kwa Simba SC ni kwamba kama tutafanikiwa Kuutetea ' Ubingwa ' wetu tena basi ' Tajiri ' Wetu Mohammed Dewji asiwe ' Mbahili / Lugume ' bali atenge ' Kitita ' cha uhakika ili Simba SC tusajili Kipa mmoja mkali wa Kigeni, Kiungo wa Ukabaji, Mabeki wa Kati Wawili na Washambuliaji wakali Wawili tu na Timu isibadilishwe sana kwani tayari ' Chemistry ' yao imeshaanza Kukubali na wanaweza Kuipeleka Simba SC mbali sana Msimu ujao wa Michuano hii ya Kimataifa.

Niwaambie tu Yanga SC kwamba Wao wajitahidi tu wapambane na Azam FC ili wabebe Kombe la ASFC kwani huku katika Ligi ( TPL ) wasijidanganye hawana chao na hata wafanyeje kwa Simba SC hii ambayo ' imetakata ' kwa sasa, Morali ya Wachezaji iko juu huku Wachezaji wakiwa bado wana hamu ya Kuendelea Kucheza Michuano ya Kimataifa sioni Timu katika Ligi hii ya Tanzania ambayo itaweza Kuisimamisha Simba SC. Na hata huko katika Kombe la ASFC Yanga SC msipokuwa makini Azam FC atalibeba kisha kama kawaida yenu mwakani tena muwe mnaendelea ' Kuzishabikia ' Timu za Kigeni ambazo zitakuja Kucheza na Simba SC au Azam FC.

Wala sijajutia au kuumia Simba SC leo ' Kutolewa ' kama siyo ' Kuishia ' hapa bali najua kuwa ' Malengo ' yetu kwa Msimu huu tulishayatimiza na huku ambako tumefika sasa ni Neema na Baraka zake tu Mwenyezi Mungu ila naamini kumewasaidia kuwapa sana ' Exposure ' Wachezaji wa Simba SC ambao naamini wengi Wao sasa hawaogopi tena Kucheza na Timu yoyote ile. Naitabiria mapema mno Simba SC kufanya vyema zaidi na kufika mbali katika Michuano ya Kimataifa kwa Msimu ujao na Mwakani pia.

This is GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer "

Nawasilisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara zis iz Simba, Mara yesi wi keni, mara du o dai mara jasho na damu.....mara kila mtu ashindwe kwao....Haya sasa TP MAZEMBE WAMESHINDA KWAO..ASANTENI KWA KUSHIRIKI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hata hivyo bora mmetolewa tu, mtaani leo kumepooa raha sana, mngeshinda wengine tusingelala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kesho birthday yangu ntaifurahiya mnoooooooooo kwa raha walizonipa mazembe leo

Kwahiyo ungekuwa karibu na Wachezaji wa TP Mazembe ungewaachanishia hiyo Miguu yako mmoja Tropiki ya Kansa na mwingine Tropiki ya Kaprikoni Mkuu huku hao Wachezaji wakawa ' wanaserubuka ' nawe katikaki ya hiyo Miguu yako au?
 
Robo fainali klabu bingwa afrika ni hatua kubwa. Na kwa taarifa tu Simba ni timu pekee katika timu nne zilizotolewa katika mashindano ambayo imefungwa goli chache nyumbani na ugenini jumla 4 - 1. kuna timu kubwa tu zimepigwa 5 - 0,5-1 na 6 - 3. hakuna cha ajabu hapo ni mpira na Simba imefika hatua nane bora na imepata pesa na faida nyingi tu. Simba ikifanya usajili wa wachezaji kama wa nne kwa timu iliyopo itakuwa timu tishio.
 
Nawasubiri kwa hamu wale ambao ' walinidhaki ' mno pale niliposema kuwa tayari Simba SC tumeshatolewa katika hatua hii ya Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika na TP Mazembe waje tena waendelee na ' dhihaka ' zao Kwangu.

Kwa Kikosi kipi Simba SC iitoe TP Mazembe? Na kama si ' Uhodari ' wa Golikipa ' Tanzania One ' kwa sasa Aishi Salum Manula leo ' Vyuma ' vingezidi badala ya hivyo ' Vinne ' sasa tungekula ' Vyuma ' vitakatifu kama Sita au Nane hivi pale Lubumbashi.

Na kama kuna Mchezaji wa Simba SC ambaye leo ' amenikera ' japo najua msiojua Mpira mtabisha na mtamtetea kwakuwa tu amefunga Goli basi ni Emanuel Okwi. Na nitakuwa Mtu wa Kwanza ' Kuwadharau ' Kaizer Chiefs au Orlando Pirates wanaohusishwa na Kumuhitaji kama wakimchukua kweli kwani Okwi leo amecheza chini ya Kiwango na ameonyesha Vitendo vingi vya Utovu wa Nidhamu ambavyo hukutegemea Kuviona kutoka Kwake hasa kama ' Professional Player ' tena wa kutoka Taifa ambalo lina Maendeleo makubwa ya Soka kama la Uganda.

Kama kuna Mchezaji ambaye kila Siku Kiwango chake kinarudi na kuongezeka basi ni ' Mnyarwanda ' Kiungo Haruna Fadhili Hakizimana Niyonzima ' Mwamba wa Gisenyi ' kwani ' anajitoa ' kwa roho yake yote ' Kuipambania ' Klabu ya Simba SC mara kwa mara ikiwa inacheza na akipangwa. Nitashangaa kuona Simba SC bado haijamuongezea Mkataba au itamuacha.

Wachezaji ambao kwa sasa sidhani kama wanatufaa tena Simba SC ni Pascal Serge Wawa, Emanuel Okwi, Asante Kwasi, Nicolas Gyan, Zana Coulibaly na James Kotei. Beki kama Juuko Murshid anahitaji Kujengwa zaidi Kisaikolojia kwani Kwangu Mimi bado ndiyo Beki wangu imara wa Kati ( Kitasa / Libero ) isipokuwa nadhani bado Benchi la Ufundi halijamuamini kwa 100% na badala yake wamemuamini Beki ambaye sifichi GENTAMYCINE Mimi simkubali na simtaki hata kumuona Kikosini kama Pascal Serge Wawa kwani anapitika kirahisi mno kwa Timu yenye ' Washambuliaji ' wenye ' Uchu ' na wenye ' Kasi ' kuliko.

Timu irejee sasa na ijikite katika Kumalizia ' Viporo ' vyake ambavyo nina uhakika wa 100% kuwa Simba SC ' itavila ' vyote na bado Msimu huu wa TPL 2018 / 2019 Simba SC itautetea tena ' Ubingwa ' wake na mwakani tutashiriki tu tena hii Michuano ya Kimataifa ambayo sasa ni kama vile tumeanza Kuizoea.

Ombi langu tu kwa Simba SC ni kwamba kama tutafanikiwa Kuutetea ' Ubingwa ' wetu tena basi ' Tajiri ' Wetu Mohammed Dewji asiwe ' Mbahili / Lugume ' bali atenge ' Kitita ' cha uhakika ili Simba SC tusajili Kipa mmoja mkali wa Kigeni, Kiungo wa Ukabaji, Mabeki wa Kati Wawili na Washambuliaji wakali Wawili tu na Timu isibadilishwe sana kwani tayari ' Chemistry ' yao imeshaanza Kukubali na wanaweza Kuipeleka Simba SC mbali sana Msimu ujao wa Michuano hii ya Kimataifa.

Niwaambie tu Yanga SC kwamba Wao wajitahidi tu wapambane na Azam FC ili wabebe Kombe la ASFC kwani huku katika Ligi ( TPL ) wasijidanganye hawana chao na hata wafanyeje kwa Simba SC hii ambayo ' imetakata ' kwa sasa, Morali ya Wachezaji iko juu huku Wachezaji wakiwa bado wana hamu ya Kuendelea Kucheza Michuano ya Kimataifa sioni Timu katika Ligi hii ya Tanzania ambayo itaweza Kuisimamisha Simba SC. Na hata huko katika Kombe la ASFC Yanga SC msipokuwa makini Azam FC atalibeba kisha kama kawaida yenu mwakani tena muwe mnaendelea ' Kuzishabikia ' Timu za Kigeni ambazo zitakuja Kucheza na Simba SC au Azam FC.

Wala sijajutia au kuumia Simba SC leo ' Kutolewa ' kama siyo ' Kuishia ' hapa bali najua kuwa ' Malengo ' yetu kwa Msimu huu tulishayatimiza na huku ambako tumefika sasa ni Neema na Baraka zake tu Mwenyezi Mungu ila naamini kumewasaidia kuwapa sana ' Exposure ' Wachezaji wa Simba SC ambao naamini wengi Wao sasa hawaogopi tena Kucheza na Timu yoyote ile. Naitabiria mapema mno Simba SC kufanya vyema zaidi na kufika mbali katika Michuano ya Kimataifa kwa Msimu ujao na Mwakani pia.

This is GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer "

Nawasilisha.
Kwanza kabisa km shabiki wa simba niipongeze klabu yangu, viongozi hadi hapo tulipofika si haba kwani kuna timu hadi shetani astaafu hawatafika hatua hiyo.

Pia niunge mkono analysis yako khs wachezaji wanaotakiwa kuongezwa na wanaotakiwa kuachwa so baada ya hapo Simba itatisha ksb tayari exposure ya wachezaji iko juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Robo fainali klabu bingwa afrika ni hatua kubwa. Na kwa taarifa tu Simba ni timu pekee katika timu nne zilizotolewa katika mashindano ambayo imefungwa goli chache nyumbani na ugenini jumla 4 - 1. kuna timu kubwa tu zimepigwa 5 - 0,5-1 na 6 - 3. hakuna cha ajabu hapo ni mpira na Simba imefika hatua nane bora na imepata pesa na faida nyingi tu. Simba ikifanya usajili wa wachezaji kama wa nne kwa timu iliyopo itakuwa timu tishio.
Uko sahihi! Simba ni ya kupongezwa kwa hapo ilipofika na hii michuano imekuwa na faida kwa Simba kuanzia mapato uwanjani, pesa kutoka CAF kuanzia makundi mpaka robo fainali, kuwaunganisha wanasimba bila kujali itikadi na uzoefu walioupata hongereni Sana Simba.
 
Kama unataka aondoke inakuwaje unaidharau Kaizer? Au unashabikia Kaizer na Simba?

Paragraph za mwisho nakupa Kongole kwa ushauri safi kabisa..SimbaNguvuMoja
 
Nadhani faraja zisizo na tija hazijengi.Kuna jambo ambalo watu hawasemi ukweli , Simba imefungwa magoli rahisi kuliko timu nyingi. Ndiyo, Simba imefika robo fainali LAKINI katika match dhidi ya Mazembe iwapo Simba ingekuwa na kocha kama yule wa Sundon au yule mfaransa aliyeondoka mwaka jana Simba ingeweza shinda match au kufungwa kwa Small margin.Kocha ameshindwa kutengeneza water tight defence hebu angalia Simba away record kuanzia group stage ya kufungwa 16 : 1, hiyo sio sawa.Siandiki kama mnazi wa Yanga au Simba lakini kama mtanzania anayeipenda nchi yake.Najaribu kuota match Simba vs Al Masiri kule Misiri (Last year) ambapo matokeo yalikuwa 0:0 pia .najaribu kuota match ya Yanga Vs Timu ya Zimbabwe sometime back iliyochezwa Harare matokeo : 2 for Yanga na mwisho Match Uganda crane Vs Taifa star kule Uganda matokeo 0 :0. Hizi match tatu hapo juu zinaonyesha pakiwapo na mipango Timu za Tanzania zinaweza kushinda away au kushindwa kwa magoli machache.Samahani kwa kuandika Gazeti LAKINI naomba MO alisome.Kabla ya ku comment maoni yangu soma kila neno kwa makini.Ahsante
 
Back
Top Bottom