...nilikua na "shake well...before use"..
Kumbe its not shaken.
Ok, usrudie tena ricecoconut, unajua sisi mods samtaim inabidi tuchukue maamuzi magumu sana kwa ajili ya kulinda heshima ya jamvi. Na ukirudia tena basi tunakuban wewe na cafe unayotumia.
Asante sana
ulikua unapima maji ya bahari kwa kidole ?