Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

Seriously? You don’t even know me haaf ww ulisema n teacher sasa mbona una errors kwenye grammar plz what are you [emoji28]
Ahaaa ,go direct to the argument. HUJUI HATA WAINGEREZA WANASUMBUKA NA GRAMMAR?

Kama watz pia wanahangaika na GRAMMAR sarufi??πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Kwangu mimi hiyo ni typing errors.
 
Kuna nyakati nawaza hivi baadhi ya Wana JF wanafikiri kwa makalio au vichwa vya chini kama walibarikiwa kuwa navyo.

Historia inayo dhima katika kumfunza mtu uzalendo.

Case study 1
Baada ya binti kukua alipewa historia ya namna baba yake alivyofariki kwa ajali ya moyo KWA AJILI ya kuwaokoa yeye na mama yake.

Case study 2
Baada ya kufahamu historia ya ukatili aliofanyiwa na baba yake, binti agoma kuhudhuria mazishi ya Baba yake mzazi.

Case study hizo mbili zipo katika ngazi ya kifamilia kwa kuwa UBONGO WAKO NI MDOGO KULIKO WA PANZI unaweza kuelewa. Maana mifano ya uzalendo wa nchi unaweza kusambaratisha kabisa hicho kifuvu chako chenye ukubwa wa punge ya harage.
 
Akija maliza muda wake kila kitu kitakuwa shaghalabagala

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Hujui kitu kaa kimya.
Kama huwafanyii yaliyo haki wanao, kwenye haki zao za msingi, hata wakijua historia ya maisha yako na baba yako na Bibi, babu yako unadhani watakupenda?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 

Mmoja wa waumini wa uongo!! Ufahamu wa ulipotoka na ulipofikia haukifanyi uwe bora. Chukua mfano huu, ikiwa baba/mama yako ni tajiri - ni lazima na wewe uwe tajiri? Au akiwa masikini, ni lazima uwe masikini pia?? Uzalendo hauna uhusiano wowote na elimu au ufahamu. Uzalendo ni zao la haki, usawa, heshima na mahitaji! Uzalendo ni jambo analolilipa mtu kwq nchi baada ya kutendewa wema, haki na mahitaji. Uzalendo ni zao la mifumo iliyopo wakati husika!! Mfungwa aliyefungwa miaka mitatu kwa kuipa kuku anaanzaje kuwa mzalendo??
 
Ww ni mtaalamu wa history na civics na umebobea kwenye hayo masomo vp kuhusu wataalamu au wabobezi wa Historia ya Tanzania ama ndio watakuwa wale babu zetu waliozaliwa since 1900's?
 
Kwani anajua kama watoto tayari wanasoma somo la Uraia?

Maajabu hayaishi nchi hii. Form four mwaka jana 80% ya walipata F kweny somo la hesabu! Lakini hili hata halimsumbui kabisa.
[emoji23]
 
Ww ni mtaalamu wa history na civics na umebobea kwenye hayo masomo vp kuhusu wataalamu au wabobezi wa Historia ya Tanzania ama ndio watakuwa wale babu zetu waliozaliwa since 1900's?
It is about past ,Current social,economic,political changes took place about man,regardless duration.πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£
 
Kama wewe ni Mwalimu basi....utakua unafundisha Tuition mkuu.
Yaani unasema Civics inaongelea Haki za Binadamu zaidi ...daah nimecheka kweli
LAZIMA UCHEKE,BECAUSE YOUR LEVEL OF UNDERSTANDING IS VERY NARROW COMPARED FORM ONE STUDENT! πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Shame on you! πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mathalani Kitendo cha MKWAWA, BWANA HERI, ABUSHIRI, YUSUPH BIN OMARY MAKUNGANYA, KINJEKETILE, Kuupinga utawala wakoloni kwa kuchukua silaha. Hawa uliowatumia kama mfano wao walijifunza uzalendo kupitia historia ipi.
CHILDISH QUESTION πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ€¨πŸ€¨πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
LAZIMA UCHEKE,BECAUSE YOUR LEVEL OF UNDERSTANDING IS VERY NARROW COMPARED FORM ONE STUDENT! [emoji2][emoji2]
Shame on you! [emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]

Kama ww ni mwalimu kama ulivyosema hebu jaribu ku re evaluate what went wrong in ur study life & career maana sio kwa maboko hayo unayoyatoa duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo la msingi la nchi hii cio history ni mfumo wa elimu mbovu na elimu yetu ya kumezesha kila kitu, cha kubadailisha ni Nini kisomwe hasa elimu ya ujasiriamali na serikali iandae masoko kwa bidhaa zitakazo tengenezwa na cio somo la historia ya tz
 
katika mambo ambayo ni ya hovyo hili ni mojawapo! wangeboresha somo la historia lillilopo sio kuongeza ati historiz ya tanganyika au tanzagiza!
 
Wewe na wajinga wenzio ni mizigo kwenye hii Nchi watu wenye akili wanawaza namna gani wagundue vitu visaidie dunia nyie mnaleta upumbafu wa historia jinga kabisa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Mkuu ujinga hautakoma kwa mentality za kipuuzi kama
Dunia saivi inajijenga kwenye science &Technologia.
Ila mpuuzi anakwambia habari za historia kwa purpose ipi
 
Kama ww ni mwalimu kama ulivyosema hebu jaribu ku re evaluate what went wrong in ur study life & career maana sio kwa maboko hayo unayoyatoa duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shame shame on you ,narrow minded member! πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ€¨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…