Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

Mtizamo wako ni kwamba kuwa na akili ni kukubaliana na kila kinachosemwa na watawala. Huo ndo ubongo wa Inzi kufuata kila mahali penye harufu ya uozo. Siamini kama kusoma historia ya nchi ndo kuwa mzalendo. Zaidi nikuendeleza elimu ile ile isiyo kuwa na tija kwa Tanzania zaidi kusoma na kubeba makaratasi kibao alafu unakuja tumwa na wasiyo na shule. Enzi za Nyerere kulikuwa na uzalendo wa hali ya juu na hakukuwa na somo la historia ya Tanzania. Tatizo lilopo nchi ni mfumo hakuna mzalendo hata mmoja nchi hii, hata wewe mewenyewe binafsi huna uzalendo hata tone. Hilo somo litaanzishwa kwa sasa lakini endapo awamu hii itapika litafutwa save hii
 
LAZIMA UCHEKE,BECAUSE YOUR LEVEL OF UNDERSTANDING IS VERY NARROW COMPARED FORM ONE STUDENT! πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Shame on you! πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Duuh andika Kiswahili.. Eti compared form one student....Because your level of understanding... aaah
 
you are the most arrogant member ever seen!

Stretch you INTELLECT, that is gift from God, to help to evaluate things in very analytical manner!

Endelea na "UJINGA" na hongera sana kwa kuchagua "UJINGA" πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ€¨πŸ€¨
 
Eti hujui maana ya Longo la CIVICS....daah Its very sad indeed to have a such old slut pretending to have the tips of Civic education. You are just a damn bad egg
 
Duuh andika Kiswahili.. Eti compared form one student....Because your level of understanding... aaah
Education is tool for social stratified, so far I can see inferiority complex from you! πŸ€¨πŸ€¨πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Eti hujui maana ya Longo la CIVICS....daah Its very sad indeed to have a such old slut pretending to have the tips of Civic education. You are just a damn bad egg
KWA KUKUSAIDIA just take civics syllabus you will see what Isaid about objecive of the civics.
 
Just an advice.. Just communicate in Kiswahili may be your insight can make sense..
Aaah eti you will see what Isaid
objecive of the civics...
If you are a teach real ,our kids are in a real mess
 
Education is tool for social stratified, so far I can see inferiority complex from you! πŸ€¨πŸ€¨πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Aaah. ...very sad to our kids.
Education is tool for...Aah
Yet you may be a degree holder from a recognized University. From your argument and writing skills one can just figure out who you are.
 
Aaah. ...very sad to our kids.
Education is tool for...Aah
Yet you may be a degree holder from a recognized University. From your argument and writing skills one can just figure out who you are.
Relax Dude, you have proved failure to make argument...
All in all I won't blame you! Narrow minded person!!! 🀣🀣🀣
 
Just an advice.. Just communicate in Kiswahili may be your insight can make sense..
Aaah eti you will see what Isaid
objecive of the civics...
If you are a teach real ,our kids are in a real mess
Who are you? You don't have mandate on how I must argue, further more language to be used is within my decision.

🀨🀨😢😢🀣🀣🀣
 
Uzalendo hauletwi kwa kufandisha vipindi darasani au redioni, hakuna uzalendo kwenye umasikini na uonevu. ili Uzalendo uwepo ni lazima wananchi wafanye shughuli zao za kila siku kwa uhuru, na kuchagua viongozi wao wanaowataka kwa uhuru.
 
bado ana miaka 4, akitoka tunalitoa !! Asante mtoa hoja umeeleweka vzr mno. Wanataka watoto wetu tuwajaze vichwani mambo ya kusifia CCM wakati ndiyo vinara wa kukimbizana na mabox ya kura mchana mchana hamna lolote.
 
Well said mkuu.
 
Who are you? You don't have mandate on how I must argue, further more language to be used is within my decision.

🀨🀨😢😢🀣🀣🀣
You dont have mandate on how I must argue....aaah you have made my day for sure
 
Mkuu Sexless

Ukisoma Biblia, Ukaikariri (meditate), kisha ukaiishi (practice) utaona namna historia inavyojenga Imani, Ujasiri na Ufia Dini (brain washed).

Mataifa yaliyoendelea yanasisitiza watu wake wajue historia ya nchi zao. USA wana mitihani ya historia kabla hawajakupa baadhi ya makaratasi ya Uraia wa nchi yao.

Hili pendekezo la Magufuli kuhusu historia ya TZ kufunzwa mashuleni ni wazo mujarabu. Tuunge mkono!
 
History bado Ina umuhimu ktk jamii yeti.hasa kujijua wapi tulipotoka,tulipo na tunapokwenda.hivyo inatusaidia kujitathmini."philosophically history means any river that's forget it's source will dry up"
 
Kingeereza ni lugha kama lugha ya kisukuma Tu, kama dunia hii ya Leo unalilia kisoma historia vyeti vyako vya chuo vitakutana na vya wajukuu wako mkiwa wote mnatafuta kazi. Wenzetu imefika mahali anaanzisha shule Kwa ajili ya familia yake ili wasome kile wanachotarajia kukufanyia kazi, wewe unalilia historia Kwa msingi wa uzalendo??? Pole endelea kuhubiri uzalendo Mimi sikusoma hiyo historia na ninakunja mkwanja na Maisha yanaenda, deal ikija napiga kama kawaida, wewe subiri uzalendo na kiingereza chako kutoka kwa Ras simba
 
Wewe ni "MPUUZI" uliamua kutoka kwenye mada ilipostiwa ambayo mimi nilichangia .

Kifupi huna hoja yoyote "BONGOLALA" πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€¨πŸ€¨πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…