Sikuamini jamani!!

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,155
Reaction score
35,683
Jamani wana JF,Japo mtasema ni umbea ila ndo hvo tena.
Jana Jumatatu majira ya saa 9 alasiri,nimemshuhudia baba wa rafiki yangu kipenzi,ameshikwa kiuno na dume mwenzie wanaingia The A***UM Hotel,kwa kuwa me nilikuwa kaunta nakunywa hakuniona.
Najiuliza nimpashe best wangu au niuchune!
 

Huo nao umbea,hapo unataka kugombanisha familia za watu,we unadhani huyo best yako atamchukuliaje babake ukishamwambia hayo? wahenga wanasema ya ngoswe ...................
 
Shocking; but pima faida ya kumwambia rafiki yako kwanza.
Ingekuwa mumewe, yes angeachana naye na kuolewa kungine; waweza achana na baba yako?????
Habari hiyo itamuumiza sana na hana kitu anachoweza fanya, so bora asijue unless you want to make her suffer, maana some friends nmh!!!!!!!!!!!1
 
Umwambie for what exactly?I just dont get your point!
 

Thanx Kaunga, namna hiyo
We Kisesengule wewe,we haya tu!
 
Mh no need ya kumuambia kwani fedhea yake nadhani huo utakuwa mwisho wa urafiki.
Au waweza mpoteza huyo rafikiyo kwa kuikimbia hiyo fedhea !
 
Kaunta mida hii
loh kazi kweli kweli
mwambie aje ashuhudie usodoma wa mzee wake
 
kwa iyo mzee aachwe aendeleee kuhamia airtel
 
sidhan kama kuna ulazima wa kumwambia kwani si kila kitu chafaa kuelezwa ...
 
Umemwona ameshikwa kiuno? Tanganyika jeki ama?
 
kama wwe ni mwanaume nakushauri achana na tabia hizi za kike kila unaloliona unataka kulisema. mangapi yanatokea na yanakuhusu hujaambiwa?? siku ukiambiwa na wwe baba yako kaliwa T*GO utafanyaje???
unaeza mwambia rafiki yako ukakuta stori anazijua mwanzo mwisho na katulia tu kama hajui vile utaficha wapi uso wako..

Kama wewe ni mwanamke nakushauri sometimes muwe mnajifunza kuwa na busara katika maamuzi ishu kama hizi hata hazitakiwi kuendeshwa na hisia zaidi cha msingi tumieni busara..
UNACHOULIZA HAPA SIO KUPATA USHAURI UNATAKA KUJUSTIFY UPUMBAVU WAKO TU kama kweli ni sahihi...

KAA KIMYA KABISA TENA USIZUNGUMZE CHOCHOTEE
 
lakini ni vema wanae wakajua kama kinatumika kihalali......

Hiyo sasa ni kuingilia uhuru wa mtu binafsi, coz kile kitundu anakitumia peke yake (not a family property); ingekuwa mikono, mdomo, au hata rungu la mama hapo sawa. Hicho kitolea kinyesi ni cha kwake peke yake! LOL
 
Then yaweza kua huyo baba ndo anaenda kula mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…