Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Nimehisi uchungu sana hasa kwa mimi ambae sijalelewa na mama yangu mzazi!
pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimehisi uchungu sana hasa kwa mimi ambae sijalelewa na mama yangu mzazi!
Nimehisi uchungu sana hasa kwa mimi ambae sijalelewa na mama yangu mzazi!
ramn mie huwa nasimuliwa tu na ndio naweka hapa.................Pole rafiki, ndo maisha!
Mtambuzi asante kwa hiki kisa cha opereta, kina mafunzo mengi ndani yake, funzo kubwa wazazi tuwe na tabia ya kutenga muda na kukaa na watoto wetu.
Lakini mtambuzi, wewe hupata wapi hivi visa?
Nilijua mtakuja kutafunana, stori cjaipenda
huyu babu ana visa vinavyoelimisha sijapata kuona.kha