demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Hivi mashabiki wenzangu mnapendezwa na namna ya usajili wetu unavyoenenda hivi sasa.
Ona sasa vituko hivi, Kuna mshambuliaji kutoka Lusaka Dynamo Chrispine Mugalu (ambaye huenda akasaini ndani ya siku 2 zijazo klabuni kwetu). Huyu ni forward ambaye takwimu zake za ufungaji ni za kiduwanzi sana. sioni kama atakuja kuwa wa msaada kabuni kwetu maana takwimu zake zinaonyesha kadiri muda unavyozidi kwenda ufungaji wake unapingua. Ukizingatia ana umri wa miaka 30.
Zambia Super League in 2017 - 21
Zambia Super League in 2018 - 14
Zambia Super League in 2019/20 - 9
Huu ni uduwanzi wanao tufanyia viongozi. Yaani tumekuwa tukisajili kwa mihemko sana aisee. Sijui ni kwanini. pia nyuma ya pazia ninaona kuna madili ya upigaji pesa, maana tangu asepe Senzo tumekuwa tukishusha wachezaji utadhani nguruwe anayezaa.