Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Forward amenikosha. Beki sijaridhika. Ila kwa maoni yangu.Sasa ndugu yangu kama issue beki na forward mbona Ndicho kilicho fanywa?
Tena wame sajiri beki wawili mmoja kutoka Kenya joash...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Forward amenikosha. Beki sijaridhika. Ila kwa maoni yangu.Sasa ndugu yangu kama issue beki na forward mbona Ndicho kilicho fanywa?
Tena wame sajiri beki wawili mmoja kutoka Kenya joash...
Asante sana kwa taarifa mkuu. Hivi ndio jamii forum inatakiwa iwe....mtu hajui...basi anaejua anamjulisha kwa ustaarabu.....heshima Sana mkuu.
Amepatikana mbadala mwenye umri mdogo Kameta DuchuMm nadhani tunahitaji beki wa kulia....huwa tunapata shida Sana kapombe akiwa majeruhi.
King Ngwaba njoo usome utopolo wa mtopolo anayejifanya mchambuzi wa Simba
Atacheza wawa/dogo kutoka lipuliMm nadhani tunahitaji beki wa kulia....huwa tunapata shida Sana kapombe akiwa majeruhi.
Mo alisema kuna siku watu wote watashangilia Simba, wameaanza sasa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wanahama yanga wanakuja Simba, mfano huyu ndugu yakoHAPA YANGA TUNATAKA KUJIHALALISHIA USAJILI WETU WA SENZO. SENZO HAKUWA KOCHA SIMBA WALA HAKUWA ANALIPIA USAJILI. SIMBA WANASAJILI WACHEZAJI WAZURI SISI TUNASAJILI AKINA SENZO. BWALYA TUMEMSHINDWA KACHUKULIWA NA SIMBA. LEO TUNAONA MCHEZAJI MWINGINE BORA ANATUA SIMBA....SISI TULIPISHANA NA BWALYA. Mimi sioni umuhimu wa kujifanya Simba kuiponda wakati hali yetu tunaifahamu wenywe ipo halijojo...
WEWE SIKU ZOTE YANGA MWENZANGU LEO UNAJIDAI NAWE ETI SIMBA.MWAKA HUU KILA MTU ANAJIDAI SIMBA...HUO NI UDWANZI NA UFALA.
Inawezekana alikua Yanga kujificha sasa anataka kurudi kipindi kile mlipofuliaMo alisema kuna siku watu wote watashangilia Simba, wameaanza sasa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wanahama yanga wanakuja Simba, mfano huyu ndugu yako