Sikuamini nilipoambiwa kuwa Senzo aliondoka na ramani ya usajili, sasa nimeamini

Sikuamini nilipoambiwa kuwa Senzo aliondoka na ramani ya usajili, sasa nimeamini

Utopolo 🐸🐸🐸 mnapata tabu sana na usajili wa Simba, jipangeni na nyie msajili.
 
HAPA YANGA TUNATAKA KUJIHALALISHIA USAJILI WETU WA SENZO. SENZO HAKUWA KOCHA SIMBA WALA HAKUWA ANALIPIA USAJILI. SIMBA WANASAJILI WACHEZAJI WAZURI SISI TUNASAJILI AKINA SENZO. BWALYA TUMEMSHINDWA KACHUKULIWA NA SIMBA. LEO TUNAONA MCHEZAJI MWINGINE BORA ANATUA SIMBA....SISI TULIPISHANA NA BWALYA. Mimi sioni umuhimu wa kujifanya Simba kuiponda wakati hali yetu tunaifahamu wenywe ipo halijojo...


WEWE SIKU ZOTE YANGA MWENZANGU LEO UNAJIDAI NAWE ETI SIMBA.MWAKA HUU KILA MTU ANAJIDAI SIMBA...HUO NI UDWANZI NA UFALA.
Mo alisema kuna siku watu wote watashangilia Simba, wameaanza sasa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wanahama yanga wanakuja Simba, mfano huyu ndugu yako
 
Mo alisema kuna siku watu wote watashangilia Simba, wameaanza sasa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wanahama yanga wanakuja Simba, mfano huyu ndugu yako
Inawezekana alikua Yanga kujificha sasa anataka kurudi kipindi kile mlipofulia
 
Nawapongeza Simba kwenye usajili wao upo vizuri. Watu japo wanabeza lakini kiukweli kusajili wachezaji wa gharama kubwa kama vilabu vikubwa Afrika Al Haly, Oralndo Pirates, n.k.

Bado sana hatujafika huko kwani itatuchukua muda mrefu na uwekezaji mkubwa sana. Kwa mfano Simba ilipomuhitaji Walter Bwalya dau lake lilikuwa ni zaidi ya millioni 800 Simba ikashindwa.

Kwa hiyo basi suala la kubwa hapa ni kutumia wachezaji hawa hawa wa daraja la kati kupambana na hao vigogo na inawezekana kwani tumeshaona Al Haly, As Vita na Soura walikaa uwanja wa Taifa kwenye Champions League.
 
Back
Top Bottom