Sikuamini nilivyofika Njombe, kumbe Tanzania hii kuna sehemu kama hizi?

Nashawishika kwenda huko siku Moja ,nikaone Nini nifanye kwa watoto wangu
 
Nchi yote imebarikiwa sana basi tu sisi wenyewe akili zetu mgando
 
welcome again mkuu and next time uje na warombo wenzio kama kumi ivi mfanye uwekezaji hamtojuta.
 
Yaani we ni poyoyo no 1 humu JF
Mi sisemi tu no zinaongeaa nenda kwenye takwimu mjomba ukimwi ndio huko kama mafua tu just take from me wilaya inayoongoza makete kwa taarifa zako
 
Ngoja niusubiri uzi wa tatu mie,huo wa pili haunihusu,ntasubiri uzi watatu utakao kuja nao kuhusu "UNAUZA SHAMBA LA HEKA 100 NJOMBE"
 

HABARI,
Lasway.Jr,
Hongera sana comrade kwa kuleta taarifa njema kwa wapenda maendeleo,mabadiliko na kujituma,Kitu ulichokileta hapa ni kikumbwa sana tena nadhani ni zaidi ya jinsi unavyo fikiria.
Pia nakupa hongera kwa kupita SUA kwani hauna tofauti na mada yako hapa MATUSI, KEJERI NA MANENO YOTE YA KUKUDHARAU ,Tafadhali yasikurudishe nyuma hizo ndizo changamoto na hao watu wapo kila sehemu sio huku tu.
Pia nikupongeze kwa moyo wako wa kuwashirikisha na wengine pale unapoona kuna fulsa.
Ulichokisema ni kweli kabisa ardhi ndio kila kitu wewe endelea kuleta taarifa za kutosha watu wengi wapo watajitokeza na mtafanya mawasiliano mtasonga mbele comrade..
Pia kwa eneo kama hilo ulilosema fikiriapia kulima kilimo cha maharage machanga(fresh beans)yana soko sana kenya,Ila pia nitaweka taarifa kuna ma agent wa makampuni toka QUTAR watakuja africa mashariki kutafuta vyanzo vya kupata mazao ya mbogamboga hasa kutokana na mgogoro wao wa kutengwa nchi za kiarabu kwahiyo kuna soko kubwa la mbogamboga la uhakika linakuja.

LUMUMBA
 
NEGATIVITY ni type ya ukipofu pia mkuu
pole sana
MAKETE is a good place take it or leave it
Makete INA uzuri gani bwana mbona hilo swala liko wazi kabisaa takataka tu kule, it not negativity it just a simple fact
 
Hapa nchini Tanzani kuna baadhi ya maeneo ni mazuri sana ya kuishi.
Vijana wengi wanaomaliza vyuo hapa nchini huwa wanapenda kuishi mijini. Kwakuwa nchi yetu Mtanzania anaruhusiwa kuishi popote pale, ilikua vyema kwa vijana wenye nguvu ya kazi wakachagua kuhama ktk maeneo yenye Ukame na kwenda kuishi ktk maeneo mazuri yatakayo wawezesha kuishi na kuzalisha.
 
Mbona amekula BAN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…