Sikuamini nilivyofika Njombe, kumbe Tanzania hii kuna sehemu kama hizi?

Lakini makete haijabarikiwa wilaya ya kikuda sana just take it from me
Hahahhhhh Mkuu kwani walikosea wapi?
Labda ushirikina
Njombe wamebarikiwa lakini kale ka ugonjwa kale nguvu kazi inaangamia!
 
Kuna mshkaji mshua wake alikuwa anafanya kazi Italy, watu wa huko Nyanda za Juu Kusini, wakawa wanaishi Italy tangu wadogo.

Kipindi cha mshua wake kufanya kazi Italy kikaisha wakarudi Tanzania, wakaenda kwao huko kusalimia wazee.

Mshkaji akawa anasema kwamba kaishi Italy halafu kaja kwao huko, huko kwao kuna baridi kuliko Italy (Rome).
 
Baada ya kupotea kwa muda , nimerudi sasa, nitaendelea kushare na nyie kadri ninavyoweza
 
Ulienda Madeke,na itakuwa zimepandwa Nanasi,vipi mlifika kwenye Mashamba ya Pinda Na Luhanjo?
 
Nikitaka nkuue na pressure nkupeleke kigoma unaweza lia na kusema enyi watanzania ni nani aliewaloga
 
Maparachichi ya muda mfupi yana soko zuri ulaya na marekani.
 
Mkuu lupembe nmetoka juzi tu kijiji kinaitwa mfiriga so mchezo ardhi kule ina rutuba so mchezo mi nlienda kutafuta mashamba ya kupanda miti ya mbao
Vipi mkuu ulipata shamba, bei ikoje huko?
 
Vipi ulifanikiwa kuwaunganisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…