khalid hakim
Member
- Aug 15, 2012
- 8
- 0
Msaada jamani kma inawezekana niombe kupitia hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah poa kaka bt naogopa kukurupuka coz hizi ngo hazijipangiwanajiandikisha kwenye ofisi zao maeneo ya m/mmoja kama cjakosea kuna mtaa huko dar unaitwa lumumba cna hakika kama bado wanaandikisha
IPO wapi ofisi yao funguka utujuze
mkuu kweye APPLICATIONS OF LOANS FOR UNDERGRADUATE STUDIES OF 2012/2013 nimesoma na mwisho wa kupokea maombi wameandika 30 october hapo vp?Mimi niliomba hapo hlssf,naona jamaa wako vizur maana walinipgia cmu na wakaniambia wameipokea fomu yangu ya maombi na majibu yatatoka mwezi huu mwishoni.
mkuu kweye APPLICATIONS OF LOANS FOR UNDERGRADUATE STUDIES OF 2012/2013 nimesoma na mwisho wa kupokea maombi wameandika 30 october hapo vp?
mkuu kweye APPLICATIONS OF LOANS FOR UNDERGRADUATE STUDIES OF 2012/2013 nimesoma na mwisho wa kupokea maombi wameandika 30 october hapo vp?
na wao wanakulipia yote au nao wanamadaraja sielewi bado.
IPO wapi ofisi yao funguka utujuze
pia kuna utofauti katika ulipaji kwan wao wanaconsider mabadiliko ya thaman ya shilingi...kwahiyo unaweza lipa zaidi ya ulichopatackia kakangu mm ndo nakuambia mana mm mwnyw nko kwny process ya kurudsha fomu ingawa cjapata nafac ya kuongea na m2 ambaye amesha omba pale ila da thng ni kuwa apply 2 ni 20 elfu n pia ucwe na shaka mkopo utapata 2 naamin hvyo olxo ni kwa wote yan ni sawa na heslb hata fomu zao ila utofaut upo ktk kurudsha mkopo huo wkt unafanya kazi ni 10% yako ila heslb ni 8% ndo hcho 2