Sikubaliani na Inspekta Haroun kutoa wimbo kumjibu Roma (Viva Roma)

Sikubaliani na Inspekta Haroun kutoa wimbo kumjibu Roma (Viva Roma)

jikwete

Senior Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
157
Reaction score
71
Mwanzo nilimuheshimu sana kutokana ukongwe wake na mashairi yake lakini kwa hili kajivunjia heshima kwa kitendo cha kutoa wimbo kwa minajiri ya kumjibu Roma, Viva Roma Viva!

Jamaa kaimba wimbo ambao hauna mantiki wala maana.. Jamani Juma Nature mshauri huyu jamaa!
 

Attachments

  • 1443641367724.jpg
    1443641367724.jpg
    8.5 KB · Views: 2,244
Kazoea kujibu nyimbo za wenzake, alianza na FA, alipotoa bado niponipo sana.
 
Umri wake ni bado kijana.
Ila amezeeka kisanaa mpaka uwezo wa kufikiri umefika mwisho naamini hata akifanya show ya bure pale Mwembe yanga atajikuta pekee ake muhimu tumuombee tu akili yake imechoka
 
Ninyi hamuijui njaa! Ushawahi jiuliza Juma Nature na Inspekta shows zao za mwisho walifanya wapi na shilingi ngapi walilipwa kabla ya hizi kampeni? Zama zao zimeshapita kwa hiyo wacha wale mafao. Ccm wanazo pesa za kugawa kwa hiyo wazichukue tu.
 
Back
Top Bottom