JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Natumaini juma nature humjui vizuri ulikua bado mdogo na sio mtu wa matamasha ivi Nature asimame stejini na Roma nani atafunika???
Acha kuchekesha nimeanza kuwasikiliza Kwanza Unit na wenzao Mawingu ndio hawa Clouds na huyo Nature wako album yake ya kwanza "Nini Chanzo" ninayo mpaka leo ya cassette ingawa sikumbuki mara ya mwisho nimeisikiliza lini. Najua ninachokiandika dogo!