Sikubaliani na Inspekta Haroun kutoa wimbo kumjibu Roma (Viva Roma)

Hivi njaa mnaijua au mnaisikia tu ?
 
Huyo ni kichwa box maana naona ndo msani anaeongoza duniani kutafuta kiki kwa kujibu wimno za watu. Kwa bahati mbaya sitakuja kusikiliza huo wimbo maana hana uwezo wa kuandika wimbo wa namna za roma labda geti kali
.
 
Ninyi hamuijui njaa! Ushawahi jiuliza Juma Nature na Inspekta shows zao za mwisho walifanya wapi na shilingi ngapi walilipwa kabla ya hizi kampeni? Zama zao zimeshapita kwa hiyo wacha wale mafao. Ccm wanazo pesa za kugawa kwa hiyo wazichukue tu.

Natumaini juma nature humjui vizuri ulikua bado mdogo na sio mtu wa matamasha ivi Nature asimame stejini na Roma nani atafunika???
 
Anatafuta pa kutokea tu hana lolote njaa inamsumbua
 
Siku hizi anakula kungu.
 
Sijamsikiliza inspector kitambo,sitarajii kusikiliza karibuni
 
Shida ni pale unapotaka jambo/mawazo yako kuwa ni mtazamo wa wote, na ingekuwa hivo dunia isingekuwa na maana yoyote.
 
Natumaini juma nature humjui vizuri ulikua bado mdogo na sio mtu wa matamasha ivi Nature asimame stejini na Roma nani atafunika???

Juma Nature anapendwa na masela wa uswazi show zake za uswazi uswazi za buku jero! Siwezi poteza mda wangu kwenye show ya buku jero! No haiwezekani
 
Juma Nature anapendwa na masela wa uswazi show zake za uswazi uswazi za buku jero! Siwezi poteza mda wangu kwenye show ya buku jero! No haiwezekani

Acha mbwembwe dogo hivi alipokuwa anaijaza Diamond Jubilee pekeyake walikuwa wamejaa masela wa uswazi mule? Kuwa na adabu basi dogo, na toka lini Diamond Jubilee kiingilio kikawa bukugwala? Karibu mjini dogo
 
Wadau achaneni na juma nature!watu wa tmk ndo tunamjua.yule jamaa kwenye suala la show hata diamond anakaa!!wakikutana stage moja.juma hana nyimbo mpya ila anavyojaza watu tena kwenye club za maana utashangaa.juzi juzi EFM wakati wanasheherekea miaka ya kuanzishwa kwa radio yao pale leaders!!kiroboto alifanya kufuru.yule jamaa muacheni sio wa kullinganisha kizembe.na watu kama inspector hao washaisha kitambo.
 
Kuhusu inspector!!alishakufa kimziki..ila huu msimu wa kampeni kapata shows ambazo zimemfanya aonje tena utamu wa kuwa staa wa muziki.na pesa ya bure bure..nasema bure bure kwa maana hamna jipya anafanya zaidi ya playback.na kushikilia mic tu.so now anafurukuta aone kama anaweza kutoka tena na kuwa angalau level za kati.na gia aliyoiona ni kuijibu ngoma ya mkali roma coz ndo ngoma ambayo kila raia anaisikiliza kwa jinsi ilivyojichukulia umaarufu.kwa ujumla inspector ni mfa maji!!!gemu lishamchoka na limemtema.
 
Hivi bado yupo? Uyo anawazo anafikiria atapaa tena kama zamani kupitia migongo ya watu
 
Acha mbwembwe dogo hivi alipokuwa anaijaza Diamond Jubilee pekeyake walikuwa wamejaa masela wa uswazi mule? Kuwa na adabu basi dogo, na toka lini Diamond Jubilee kiingilio kikawa bukugwala? Karibu mjini dogo

mkuu hao watoto wa mbwa wanapenda sana kujipaisha waonekane mboga nane,matokeo yake wanaropoka ungese tu!
Huyo bado anachuja mbege, hana hata ramani ya kufika mjini!
 
Sasa mtu aimbe utumbo then watu wakae kimya? must akemewe ili afunge domo lake. Roma nae si kubwa jinga. wait soon atanyoooka tuuu... chezea dola wewe!
 
Watu wa mnaomtukana Inspctr mnajua maana ya HipHop na sanaa kwa ujumla....

Kama mnajua kwann mchukie Roma kujibiwa alichoimba... Huo ndo mziki mtu anaangalia kwenye Joint apige apate kick na ujumbe ufike..

... Roma ameimba kitu kinachogusa hisia za kiasiasa za Watanzania na Inspector kama Babu mkongwe kajibu.. Kuna ubaya gani??
 
Kwenye huo wimbo auweke hapa tusiikilize maudhui yake
 
Hivi nyie wapambe mahaba wa ukawa ina maana wale wanaowasapoti nyie ndio watu wa maana tu? Anayewapinga ni adui? Achen ulimbukeni na hyo midomo yenu inayo bleed frequently itatakoma tarehe 25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…