Sikubaliani na Inspekta Haroun kutoa wimbo kumjibu Roma (Viva Roma)

Natumaini juma nature humjui vizuri ulikua bado mdogo na sio mtu wa matamasha ivi Nature asimame stejini na Roma nani atafunika???

Acha kuchekesha nimeanza kuwasikiliza Kwanza Unit na wenzao Mawingu ndio hawa Clouds na huyo Nature wako album yake ya kwanza "Nini Chanzo" ninayo mpaka leo ya cassette ingawa sikumbuki mara ya mwisho nimeisikiliza lini. Najua ninachokiandika dogo!
 
hawAIJIBU HOJA ZAIDI YA KUWATUMIAGA WAHUNI,ROMA SINA MUDA WA KUJIBISHANA NA INSPECTOR HARUNI,KASI YA MABADILIKO KUIZUIA UWEZI,ROMA MIDFLIED BABU DIFENDA NSHAMPITA ANANIVUTA JEZI, NJAA INAWATESA WASANII WASOJIELEWA,VIPOSHO VIDOGO DOGO HAVIWEZ NTEGA MBELE YA HAT MILIK AMBAYO MIAKA KUM SIJAPEWA-on behalf of roma
 
Kashajtahd sana kutokea migongo ya wenzie toka enzi zile za mwaka wa shetan bt ndo hvo tena, gundu lake njaa yake....
 
Huyu kachoka sana,njaa ndio ttzo anatafuta kiki ya kurudi kwny game ili akubarike km mwanzo
 
Ni haki yake ya kikatiba kama Mtanzania huru anayeishi katika nchi huru. Wewe ukubali usikubali haijalishi mkuu. Acha watu waishi maisha yao na wewe ishi ya kwako. Cha muhimu tu msivunje sheria. Tuvumiliane!
 
Hao ni kina riz..wanacheza nyuma ya pazia.....i hope na wa kwake utafungiwa
 
Ney c alishasema lkn "inspector haroun babuu..we mtu usiskie kitu"
 
Hiyo ni kawaida yake kpnd cha nyuma alikuwa anajibizana hadi na wasanii wa kike alafu sipendi style yake ya uimbaji imekaa kizamani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…