Tatizo tunaamini tuna MaDR na Maprof. wenye uwezo mzuri wa kufikiri kumbe ni weupe jaribu kuchunguza mara zote maraisi wanapo waamini hawa madokta na maprof. kuanzia enzi za mkapa kina kapuya,magembe,shukuru na huyu sifuri sorry sifuni ni utumbo tu. Kama uprof ndio huu UDSM watupishe tu tukawe mafundi kaa wachina. Huu ni ufisadi wa elimu eti kisa mulugo alipata tabu hadi kusoma open miaka minane. if these are intellectuals we have
then we are finished. Nasikitika miaka kumi ijayo tutakuwa na taifa la namana gani. Nimpongeze Dr Ndalichako kwa kukataa kudhalilisha elimu yake kwani walipomkatalia kujiuzulu aliamua kuchukua likizo. You are great womwan