SIKUBALIANI na madaraja mapya ya f4&f6

SIKUBALIANI na madaraja mapya ya f4&f6

sangas

Senior Member
Joined
Aug 26, 2012
Posts
135
Reaction score
95
wana jf.kwa maoni yangu naona kushusha madaraja ya ufaulu kwa k4 na k6 si mpango mzuri kwa kuboresha elimu.ila ni juhudi ya kutafuta sifa na kuondoa aibu ya matokeo ya k4 na k6.kwa mpango huu mpaka watoto wanaopata wastani wa 20 watakuwa wamefaulu?.
 
mkuu. elimu ye2 ya Tz ishanuka uvundo xaxa. mara big resalt mara dvision 5. asee! cjui kama 2tafika kwamtindo huu!
 
Ni upuuzi mtupu Mkuu hili kamwe halitaboresha hii Elimu Mulugo iliyokuwepo nchini kwa miaka mingi sasa.
 
Kuongeza madalaja sio kuboresha elimu hata kidogo! Elimu inazidi kushuka tunahitaji walimu wazuri walipwe vizuri na kuboresha system baaasi.
 
elimu ya bongo sasa inashuka thamani ha2taweza kukompete na wenze2 wa afrika mashariki hii ni hatari
 
Tatizo tunaamini tuna MaDR na Maprof. wenye uwezo mzuri wa kufikiri kumbe ni weupe jaribu kuchunguza mara zote maraisi wanapo waamini hawa madokta na maprof. kuanzia enzi za mkapa kina kapuya,magembe,shukuru na huyu sifuri sorry sifuni ni utumbo tu. Kama uprof ndio huu UDSM watupishe tu tukawe mafundi kaa wachina. Huu ni ufisadi wa elimu eti kisa mulugo alipata tabu hadi kusoma open miaka minane. if these are intellectuals we have
then we are finished. Nasikitika miaka kumi ijayo tutakuwa na taifa la namana gani. Nimpongeze Dr Ndalichako kwa kukataa kudhalilisha elimu yake kwani walipomkatalia kujiuzulu aliamua kuchukua likizo. You are great womwan
 
Inasikitidha sana kuona kuwa viongozi wa elimu wameweka mbele maslahi yao badala ya kufikiria namna ya kuleta maendeleo katika elimu ambayo iko ICU. Hii yote ni kwa sababu Kawambwa na viongozi wote wa Wizara walisaini mikataba kuwa ufaulu usipofika 60% watajiuzulu, kwa viwango hivi watajipongeza kuwa wamezidi lengo.
 
Lengo la sisiemu ni kuandaa kundi la wajinga kubwa la kuweza kutawala kirahisi. Mi nafikiri wamefanya ivi ili kujipendekeza kwa wale wasioona impact ya mfumo huu wa Elimu-Mlugu.
 
Inasikitisha sana kuona serikali inakwepa wajibu wake wa kutafuta majibu ya msingi kwenye matatizo ya elimu.
 
wana jf.kwa maoni yangu naona kushusha madaraja ya ufaulu kwa k4 na k6 si mpango mzuri kwa kuboresha elimu.ila ni juhudi ya kutafuta sifa na kuondoa aibu ya matokeo ya k4 na k6.kwa mpango huu mpaka watoto wanaopata wastani wa 20 watakuwa wamefaulu?.

kama una taaluma ya ualimu nenda rejea upimaji na tathimini ndo uje kupinga kwa point hapa! sio kuleta siasa na mitazamo yako katika mambo ya kitaaluma.
 
Ni upuuzi mtupu Mkuu hili kamwe halitaboresha hii Elimu Mulugo iliyokuwepo nchini kwa miaka mingi sasa.
wanawapata watoto false hope, hiyo div5 ukienda nayo chuo/kazini haiwasadii chochote. its completely meaningless!!
 
Haya sasa mwishowe tutakuwa na hadi divission ten tuombe uhai.
 
viongozi wanakurupuka lakini pia wanachi tunakurupuka kupinga kila kinachopendekezwa na serikali mko kisiasa ndugu wanachi mkitafakari kwa makini huu mfumo mzuri
 
hiram@ kaka hamna cha mpango wa manufaa hapo ila pumba tupu,CKUBALIAN NAO HATAA.maprofesor hao wanatupotezea wadogo zetu.
 
Hapa bongo sababu ya kushuka elimu ni moja tu mishahara mibovu na maslahi duni ya walimu basi hembu serikali iwalipe vizuri walimu na iwasimamie vizuri tuone kama wanafunzi hawatafanya vizuri enzi za mwalimu walimu hawahawa na shule zao mbovu kabisa wengine walifundishia chini ya miti nabado tuliwapata hawa maprofesa kina mchome na wenzake kwanini leo isiwezekane.
 
Back
Top Bottom