Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Swali lako halina uhusiano na hoja...Naomba kuuliza, hayo ma-bar huko Uganda yanayofanya kazi 24hrs yapo kwenye makazi ya watu na yanapiga mziki mkubwa mpaka majirani hawalali, na wanafunzi hawajisomei usiku?
Labda ntakuwa nimeuliza kwa njia isiyo sahihi.Swali lako halina uhusiano na hoja...
Hoja ni kuwa, Uganda biashara (ikiwemo ya baa) haina time limit bali hufanyika 24 hours and 7days a week...
Sasa hayo ya kupigiwa makelele sijui kitu gani inaweza kuwa mjadala mwingine kabisa. After all kelele ni mbaya muda wote tu si lazima iwe usiku tu...
La muhimu kwa sasa ni kuwa, ni kweli kabisa shughuli za watu katika mazingira yanayoruhusu zifanyike muda wote ya 24hrs, 7days a week, 365days a year...!
Kapricon kaomba route yakutoka Arusha saa nne usiku kwenda Dar kaambiwa ahakikishe saa sita usiku liwe limeshafika Dar! nadhani mishahara ya Tanzania huwa ina ndumba sio bureKampala hata saa 7 usiku unapata gari la kwenda mikoa mingine lkn kwa Dar sidhani
kwanini muruhusu bar makazi ya watu? kwanza hizi zetu sio bar ni madanguro,Naomba kuuliza, hayo ma-bar huko Uganda yanayofanya kazi 24hrs yapo kwenye makazi ya watu na yanapiga mziki mkubwa mpaka majirani hawalali, na wanafunzi hawajisomei usiku?
siku moja nilikuwa naenda mugumu kufika lamadi nikaamua kula chakula ilikuwa saa nne usiku mara tenga likafika mamantilie kaanza kufokewa yaani bado haujafunga tu, tukirudi tunaondoka na wewe yule mama alifunga milango haraka na wala hakudai pesa yake, mambo ya hovyo kabisa, yaani tunafunga biashara ili polisi walioko doria wakalaleSwali lako halina uhusiano na hoja...
Hoja ni kuwa, Uganda biashara (ikiwemo ya baa) haina time limit bali hufanyika 24 hours and 7days a week...
Sasa hayo ya kupigiwa makelele sijui kitu gani inaweza kuwa mjadala mwingine kabisa. After all kelele ni mbaya muda wote tu si lazima iwe usiku tu...
La muhimu kwa sasa ni kuwa, ni kweli kabisa shughuli za watu katika mazingira yanayoruhusu zifanyike muda wote ya 24hrs, 7days a week, 365days a year na serikali kupitia jeshi la polisi wahakikishe usalama wa watu na Mali/biashara zao muda wote. Period...!
Nafikiri ukoloni bado unatusumbua vichwani mwetuKapricon kaomba route yakutoka Arusha saa nne usiku kwenda Dar kaambiwa ahakikishe saa sita usiku liwe limeshafika Dar! nadhani mishahara ya Tanzania huwa ina ndumba sio bure
Ok mkuu ngoja tusaidiane hapa tutani,madai ya sheria mpya ya nchi ni pamoja nchi kuwa na TAASISI imara zenye kujitegemea na impartial kwa sasa tuna TAASISI ya Rais ambayo ipo very powerful na tumeshaaminishwa kuwa bila ofisi ile hakuna kinachoweza fanyika kitu ambacho ni makosa,kisheria mtu anapoomba kibali cha kufungua Bar au bussiness yeyote ile pamoja na kutuma maombi yake serikalini ni LAZIMA majirani nao waridhie(hii ni very important na majirani wana tia sahihi zao)na pia kunapokua na kelele beyond 22:00unaruhusiwa kuwapigia simu police ambao watachukua hatua na hasa kumlazimisha sauti ipunguzwe au kuandikiwa fine,Nightclubs hizi ni 24hrs ila zikifika muda fulani ni LAZIMA ukelele wao upunguzwe ili usisumbue watu kama wewe mtoa wazo hili.mkuu tunahitaji sheria zitakazofanya kazi kwa masilahi yetu sio vinginevyo.Labda ntakuwa nimeuliza kwa njia isiyo sahihi.
Lengo langu halikuwa kupinga bar za Tanzania zisikeshe, ila mimi nilikuwa nimechomekea tu, ili tujifunze kitu kwa majirani wenzetu, kwa sababu huku Tanzania kuna tatizo la bar kupiga mziki kwa sauti za juu usiku zikiwa katika makazi ya watu!
Sasa nauliza upya kwa lengo la kujifunza.
Je, huko Uganda utaratibu wa uanzishwaji wa bar upo vipi? Je, bar zinaanzishwa kwenye makazi ya watu kama huku TZ? Je, bar Uganda zinapiga mziki kwa sauti kubwa hadi usiku wa manane kama Tanzania?
Kila jambo na wakati wake na mahali pake, ingependeza ya Ngoswe yabakie kuwa yake na yetu yaende kivyetuSwali lako halina uhusiano na hoja...
Hoja ni kuwa, Uganda biashara (ikiwemo ya baa) haina time limit bali hufanyika 24 hours and 7days a week...
Sasa hayo ya kupigiwa makelele sijui kitu gani inaweza kuwa mjadala mwingine kabisa. After all kelele ni mbaya muda wote tu si lazima iwe usiku tu...
La muhimu kwa sasa ni kuwa, ni kweli kabisa shughuli za watu katika mazingira yanayoruhusu zifanyike muda wote ya 24hrs, 7days a week, 365days a year na serikali kupitia jeshi la polisi wahakikishe usalama wa watu na Mali/biashara zao muda wote. Period...!
Naomba kuuliza, hayo ma-bar huko Uganda yanayofanya kazi 24hrs yapo kwenye makazi ya watu na yanapiga mziki mkubwa mpaka majirani hawalali, na wanafunzi hawajisomei usiku?
Wameona fursa kuingia bure bill yako ni baada ya kutokaNilikuwa Dodoma maeneo ya Ilazo bar jamaa wakavamia pale hao majambazi wa uniformu wanaojiita polisi wanabeba watu hovyo. Tukawaambia kistaarabu tu kuwa hapa hakuna muhalifu
Hapa umeua mkuu. Akipangua hoja hii nitagAfter all kelele ni mbaya muda wote tu si lazima iwe usiku tu...
Mkuuu..siku moja nilikuwa naenda mugumu kufika lamadi nikaamua kula chakula ilikuwa saa nne usiku mara tenga likafika mamantilie kaanza kufokewa yaani bado haujafunga tu, tukirudi tunaondoka na wewe yule mama alifunga milango haraka na wala hakudai pesa yake, mambo ya hovyo kabisa, yaani tunafunga biashara ili polisi walioko doria wakalale
Huku hao walinzi wenyewe ndiyo walevi wakubwa hata hawajui majukumu yao.Nitasema kwelii.
Hii nimeona niilete hapa jamvini guys, binafsi sikubaliani na serikali na watendaji wake hasa hasa kwenye suala la jiji la DSM eti biashara ya bar mwisho saa sita usiku.
Hii si sawa. binafsi nimekaa Uganda maeneo ya Kabalagala, aiseee wale jamaa baana pamoja na mavita vita yao, machafuko yao yaaani hawako stable politically still wafanyabiashara sio tu wenyewe ma-bar ila wauza vyakula biashara hifabyika 24/7.
Kazi ya polisi ni kuporovide ulinzi ila kibongo bongo polisi nao kama wafanyakazi wa benki tu ikifika saa 12 jioni nao waenda lala. 😀😀
Mkuu wa mkoa wa DSM plz, liangalie hii kwa jicho la tatu.
hivi kwanini ulazimishe bar aka danguro makazi ya watu? cha ajabu hao wenye bar huwa hawaishi maeneo hayo, kuna fukwe nyingi tu siwaende huko nungwi, hivi ukiweka bar kisiwa cha saa nane kuna nyani atakuvamia? na umekuja huu mtindo wa Lounge mh nadhani mazalia ya korona yako huko sio mbanano huo,Ok mkuu ngoja tusaidiane hapa tutani,madai ya sheria mpya ya nchi ni pamoja nchi kuwa na TAASISI imara zenye kujitegemea na impartial kwa sasa tuna TAASISI ya Rais ambayo ipo very powerful na tumeshaaminishwa kuwa bila ofisi ile hakuna kinachoweza fanyika kitu ambacho ni makosa,kisheria mtu anapoomba kibali cha kufungua Bar au bussiness yeyote ile pamoja na kutuma maombi yake serikalini ni LAZIMA majirani nao waridhie(hii ni very important na majirani wana tia sahihi zao)na pia kunapokua na kelele beyond 22:00unaruhusiwa kuwapigia simu police ambao watachukua hatua na hasa kumlazimisha sauti ipunguzwe au kuandikiwa fine,Nightclubs hizi ni 24hrs ila zikifika muda fulani ni LAZIMA ukelele wao upunguzwe ili usisumbue watu kama wewe mtoa wazo hili.mkuu tunahitaji sheria zitakazofanya kazi kwa masilahi yetu sio vinginevyo.