Sikubaliani na Tundu Lissu kwa sababu Mbowe ni maarufu kuliko CHADEMA. Hata Magufuli na Maalim Seif walivizidi vyama vyao!

Sikubaliani na Tundu Lissu kwa sababu Mbowe ni maarufu kuliko CHADEMA. Hata Magufuli na Maalim Seif walivizidi vyama vyao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana.

Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi.

Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM.

Maalim Seif kule ACT Wazalendo.

Chama pale Simba SC.

Mbowe hapo Chadema nk.
 
Naomba kuuliza suali, magufuli kwa lugha ya kiingereza alikua 'famous' au 'popular' hayo maneno ni tofauti japo yana fanana
 
Kama wewe ni dikiteita kama magufuli unawea kuwa mkubwa kuliko CCM. LAKINI in a democratic society, huwezi kuwa maarufu kuliko taasisi ila unaweza kupendwa zaidi lakini ukikosa platform ya kukuona watu unatoweka. uwe unelewa philosopphy ya muongeaji!
 
Naomba kuuliza suali, magufuli kwa lugha ya kiingereza alikua 'famous' au 'popular' hayo maneno ni tofauti japo yana fanana
Example: Osama Bin Laden is famous, but he is not liked by anyone. That means notorious people can be famous but not popular.

NADHANI UMEPATA JIBU
 
Lisu yupo sahihi kijana!! Ebu acha akili yaki ifanye kazi yake, kuliko kujifanya kwamba unajua kumbe hujui lolote okay!
 
Kwa hio unataka kusemaje kwanza kwanini unateseka kiasi hicho kuzungumzia kitu cha mtu ambae hakujui? Wewe ni nani kwa Lissu na Mbowe?
 
Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana

Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi

Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM

Maalim Seif kule ACT Wazalendo

Chama pale Simba SC

Mbowe hapo Chadema nk...nk
Ni lini ulikubaliana na LISSU?
 
Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana

Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi

Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM

Maalim Seif kule ACT Wazalendo

Chama pale Simba SC

Mbowe hapo Chadema nk...nk

Fanya maandamano
 
Back
Top Bottom