johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Example: Osama Bin Laden is famous, but he is not liked by anyone. That means notorious people can be famous but not popular.Naomba kuuliza suali, magufuli kwa lugha ya kiingereza alikua 'famous' au 'popular' hayo maneno ni tofauti japo yana fanana
Ni lini ulikubaliana na LISSU?Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana
Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi
Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM
Maalim Seif kule ACT Wazalendo
Chama pale Simba SC
Mbowe hapo Chadema nk...nk
Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana
Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi
Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM
Maalim Seif kule ACT Wazalendo
Chama pale Simba SC
Mbowe hapo Chadema nk...nk