Sikubaliani na uhuni wa kuchanganya Siasa na Mpira

Sikubaliani na uhuni wa kuchanganya Siasa na Mpira

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Mimi ni Simba ila sikubaliani na huu uhuni wa kuchanganya Siasa na Mpira na tusipo piga kelele now mbele ya safari hali itakuwa mbaya zaidi.

Kwa nini kuwe na kiwango hiki cha juu cha kuchanganya Mpira na Siasa? au Burudani na siasa?

Sijapata ya Yanga ila hope na wao wako huko uwanjani wanafanya the same ujinga. Hii kwangu ni Big no kwakeli.

Kila siku nasema humu Yanga na Simba ni mtaji mkuu no moja wa CCM wameupiku mtaji wa umasikini.

Nimepata ya Simba na Azam

Screenshot_20240706_160722_com.facebook.katana.jpg

Screenshot_20240706_160811_com.facebook.katana.jpg
 
Mpira ni Siasa na Siasa ni Mpira. Mbona haukupinga zile Mil 5 na 10 kwa kila goli la CAF?
 
CCM Wameshagundua asilimia kubwa ya watanzania ni wajinga na kwakuwa wanapenda mpira wameamua kutumia udhaifu huo pamaja na kuwapa elimu duni ili kuendelea kutawala akili zao na kuwaendesha kama n'gombe
 
Wewe ujielewi ccm ndio mama yetu ccm ndio baba yetu
Mpira unakua kwa sababu ya ccm
Mtu mwenye akili awezi zarau Ccm na Tanu
Achana na vyama vya matusi
Ccm daima
 
CCM Wameshagundua asilimia kubwa ya watanzania ni wajinga na kwakuwa wanapenda mpira wameamua kutumia udhaifu huo pamaja na kuwapa elimu duni ili kuendelea kutawala akili zao na kuwaendesha kama n'gombe
but hii ni too much
 
Utawalaumu bure, upepo mgumu sana kwa CCM lazima watafute kila namna ya kurudisha imani na kunogesha kampeni.

Wasanii na watu maarufu kufikia 2025 watapiga sana michuzi ya CCM
 
Back
Top Bottom