Sikubaliani na ujumbe huu wa Sugu unaoleta taharuki na sintofahamu

Basi alilotekwa Mzee Kibao limetoa taarifa rasmi kwa umma? Hata pole? Watu binafsi wanatoa taarifa wenyewe wamekausha tu? Hii inafikirisha sana.
Uliona wapi mfiwa akijipa pole mwenyewe?? YANA MWISHO HAYA! Wana Israel walikaa kwa farao utumwani miaka 400! Mandela alifungwa 20+ yrs . Tanganyika ilitawaliwa miaka mingi na Wakoloni leo wapo wapi? Mnajifariji sana ila akuna urefu usio na mwisho. Tanzania ni yetu sote ila hawa wanao fanya haya aijalishi ni nani- tunaitia nuksi nchi kama nchi!! Yakitokea machafuko .Sote tu waanga Risasi aijui huyu Chadema au TLP na au Mkiristo au Muhindi. Tuitunze na kuipenda Tanzania na tuje tuiche Tanzania yenye Amani Upendo na Umoja kama Waasisi wetu walivyotuachia- MUNGU Ibariki Tanzania, Wabariki Viongozi na watu wake🙏
 

Attachments

  • IMG_5368.jpeg
    22.1 KB · Views: 1
Kama hayuko sahihi viachie vyombo vya ulinzi na Usalama vinavyoendelea na operation hiyo vimkamate na kumfungulia kesi ya uchochezi.
 
Hayupo sahihi.hizo silaha za kivita uliziona wapi? Unaweza kuweka ushahidi wako hapa au umeongozwa na hisia zako tu
Lucas Umesikia Mashuhuda wa Tukio?
Umemsikia Dereva na Kondakta wa Tashriff walivyosema..?

Wamesema waliingia watu wenye Haiba ya Askari na wakamchukua na wakawatisha na Ndani ya Basi kulikuwa na askari wa Usalama barabarani ambaye na yeye mwenyewe alidhani kuwa waliokuja kumchukua Walikuwa ni Askari
 
Ngoja siku limkute ndugu yako wa karibu ndiyo utaandika vizuri haya magazeti yako. Asshole!
 
Unapajua Kibo Complex Tegeta?😂😂😂

Tegeta siyo kwenu huko Chimala mashambani ambapo Mbunge wa CCM anagongwa na Power tiller na kufa🐼
Nimecheka Sana John 🤣🤣🤣
Kama majambazi wanaweza kuteka Tegeta bhasi Polisi wameshindwa Kutulinda..
Unatekwa Mjini?
 
Wewe huna tofauti na hao watekaji roho yako imejaa ushetani tupu.
 
Chawa mnafurahio uovu lakini make mkijua karma ipo na inamfanya kazi
 
Sugu ni mwanaume kama.mimi
Wewe siyo mwanaume.

Wakishamalizana na wapinzani, wanaleta msiba nyumbani kwako


Polisi wamemuua mzee Kibao. Na hiyo taharuki ije kwa ajili ya usalama wetu.

Mnatumia amani kuua watu hovyo halafu mnataka tukae kimya? Wewe ni hasara kwa taifa
 
kumer la m.amako mama yenu alipodhihaki kua matukio ya utekaji ni drama alikua na busara gani ?!
 
Wacheni kuteka watu na kuwaua kwasababu ya mpishano wa mawazo.
ni muhimu zaidi kuheshimu familia na wake wa wenzio kuliko ushirikina na ramli hizo ambazo hazina maana yoyote...

halafu,
kweli nafasi ya uongozi wa chama tu unamtoa mwingine uhai kweli?🐒
 
ulivyojizi kwahiyo hayo maneno ndo umeona yanaleta taharuki ila mauaji yanayoendelea kila siku kwa watanzania huoni kama tayari ni taharuki
 
Kwani majambazi huwa hayaingii na silaha za kivita yakitaka kuteka mahali fulani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…