Sikubaliani na ujumbe huu wa Sugu unaoleta taharuki na sintofahamu

Ndugu zangu Watanzania,

Kwanza ningependa kuendelea kutoa pole kwa wana CHADEMA kwa kifo cha kiongozi wao.najuwa kibinadamu inaumiza , kusikitisha,kuhuzunisha na kutia simanzi.

Lakini ningependa kusema ya kuwa tukio hilo lisifanye kupoteza imani kwa vyombo vyetu vya Ulinzi hususan jeshi la Polisi kama ambavyo tumesikia matamko yakitolewa na viongozi na Makada wa CHADEMA.ni wazi kuwa jeshi letu limepokea na kusikia sauti za watanzania wa vyama vyote na wasio na vyama namna walivyo laani na kukemea tukio hilo na ndio maana tumeshuhudia likiongeza nguvu ya timu nzito kutoka makao makuu kitengo cha upelelezi wa matukio makubwa.

Tumeona pia namna Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alivyosikitishwa na kuhuzunishwa sana na kutoa amri ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina na kupewa taarifa au ripoti juu ya suala hilo.

Lakini ningependa kusema kuwa unapokuwa kiongozi ni lazima na muhimu sana na busara kubwa sana kuchunga ulimi wako au maneno yako au kujizuia kuzungumza unapokuwa katika hali ya hasira,jazba au hali yoyote ile inayoweza kukufanya au kukuchochea kuzungumza jambo au kutoa tamko bila kufikiri zaidi ya kutumia hisia tu.

Ndio maana unapoitwa au kufikia hatua ya kuwa kiongozi ni lazima uwe na kifua,kujizuia kutanguliza hisia zaidi ,uchuje maneno,uwe na subira,utangulize hekima,busara na kuwa na Utulivu wakati wa nyakati ngumu zenye kila aina ya presha ya wafuasi wako au kwa sababu ya tukio fulani.ni lazima uhakikishe ya kuwa unajizuia hisia zako katika kufanya maamuzi au kutoa maneno juu ya jambo fulani.

Sasa nimepita katika ukurasa wa Twitter wa Sugu mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa na kushangaa sana alicho kiandika. Kiukweli sikubaliani nacho kwa sababu kinaleta taharuki, uchochezi, uchonganishi na hofu kwa watu isiyo na ukweli. Ni maneno yanayoonyesha ameandika akiwa na hisia na kukosa utulivu au kufikiria kabla ya kuyaandika.

Kama kiongozi amekosea na amefanya kosa kubwa tu.ameshindwa kujiongoza Mwenyewe na kutawala hisia zake na badala yake hisia zake zimemtawala na kumuongoza,jambo ambalo ni la hatari kwa kiongozi.Maana linakupunguzia ile nguvu ya kuitwa kiongozi Makini.

Maneno yenyewe na ujumbe wenyewe ni huu hapa.

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

View attachment 3091831
Sugu is very right, all you want to do upon us is abolishment
 
We fala mtoto wa kahaba kwani cha ajabu kipi hapo ?,wewe huelewi trend ya matukio yanayofanywa na polisi mpaka sasa mbwa wewe ?, bichwa kubwa akili kinyesi cha punda na matope .
You Son of a whore !
Nimekusamehe bure kabisa makosa yako.
 
Mmewajaza watu chuki sana nyie
Mbegu mliyoipanda mtakuja ivuna tu

Ova
Nani amewajaza watu chuki. CHADEMA si ndio mara nyingi tunaona na kusikia wakihubiri maneno ya chuki na ubaguzi majukwaani?
 
Hayupo sahihi.hizo silaha za kivita uliziona wapi? Unaweza kuweka ushahidi wako hapa au umeongozwa na hisia zako tu
Yupo sahihi katikati ya askari walipwao
Kwa kodi mzee Ali Kibao kauawa kikatili, katikati ya UTEKAJI na utesaji orodha yaongezeka tangu kwa Alphonce Mawazo,Ben Saanane,Deus Soka na wenzake nyinyi mwakejeli kwa drama!. SHETANI NA AWAKEMEE.
20240908_155230.jpg
 
Kama Hawa wanaotekeleza Haya mauaji ni Maafisa wa Usalama wa Taifa, basi tuna maafsa wajinga Sana,, nataman liwe genge tu la CCM maana tutawadhibiti tukiwajua kama yule dogo wa BUKOBA,,, haya Mambo yanatukera hata sisi CCM wenyewe,,
 
Ametum
Hakuna anayekubaliana na uzushi wake na ndio maana chama kikipinga kauli yake na hata kupelekea Mheshimiwa Rais kutengua uteuzi wake. Maana yake hata Rais alipinga uzushi na uongo wa yule mtu.
Ametumbuliwa kuficha chupi zao chafu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwanza ningependa kuendelea kutoa pole kwa wana CHADEMA kwa kifo cha kiongozi wao.najuwa kibinadamu inaumiza , kusikitisha,kuhuzunisha na kutia simanzi.

Lakini ningependa kusema ya kuwa tukio hilo lisifanye kupoteza imani kwa vyombo vyetu vya Ulinzi hususan jeshi la Polisi kama ambavyo tumesikia matamko yakitolewa na viongozi na Makada wa CHADEMA.ni wazi kuwa jeshi letu limepokea na kusikia sauti za watanzania wa vyama vyote na wasio na vyama namna walivyo laani na kukemea tukio hilo na ndio maana tumeshuhudia likiongeza nguvu ya timu nzito kutoka makao makuu kitengo cha upelelezi wa matukio makubwa.

Tumeona pia namna Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alivyosikitishwa na kuhuzunishwa sana na kutoa amri ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina na kupewa taarifa au ripoti juu ya suala hilo.

Lakini ningependa kusema kuwa unapokuwa kiongozi ni lazima na muhimu sana na busara kubwa sana kuchunga ulimi wako au maneno yako au kujizuia kuzungumza unapokuwa katika hali ya hasira,jazba au hali yoyote ile inayoweza kukufanya au kukuchochea kuzungumza jambo au kutoa tamko bila kufikiri zaidi ya kutumia hisia tu.

Ndio maana unapoitwa au kufikia hatua ya kuwa kiongozi ni lazima uwe na kifua,kujizuia kutanguliza hisia zaidi ,uchuje maneno,uwe na subira,utangulize hekima,busara na kuwa na Utulivu wakati wa nyakati ngumu zenye kila aina ya presha ya wafuasi wako au kwa sababu ya tukio fulani.ni lazima uhakikishe ya kuwa unajizuia hisia zako katika kufanya maamuzi au kutoa maneno juu ya jambo fulani.

Sasa nimepita katika ukurasa wa Twitter wa Sugu mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa na kushangaa sana alicho kiandika. Kiukweli sikubaliani nacho kwa sababu kinaleta taharuki, uchochezi, uchonganishi na hofu kwa watu isiyo na ukweli. Ni maneno yanayoonyesha ameandika akiwa na hisia na kukosa utulivu au kufikiria kabla ya kuyaandika.

Kama kiongozi amekosea na amefanya kosa kubwa tu.ameshindwa kujiongoza Mwenyewe na kutawala hisia zake na badala yake hisia zake zimemtawala na kumuongoza,jambo ambalo ni la hatari kwa kiongozi.Maana linakupunguzia ile nguvu ya kuitwa kiongozi Makini.

Maneno yenyewe na ujumbe wenyewe ni huu hapa.

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

View attachment 3091831
Kwani anaongea uongo Acha upumbavu
 
Back
Top Bottom