mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
- Thread starter
- #21
Warumi 13Mlokole umezinduka? Nilifikiri msiba ulikumaliza nguvu kabisa ukaamua kuachana na siasa. Sasa ni wewe na chama tawala tu. Kwenye dhulma na mateso yanayofanywa na watawala Neno halisomi kabisa?
1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
2 Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
3 Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;