Warumi 13Mlokole umezinduka? Nilifikiri msiba ulikumaliza nguvu kabisa ukaamua kuachana na siasa. Sasa ni wewe na chama tawala tu. Kwenye dhulma na mateso yanayofanywa na watawala Neno halisomi kabisa?
Umeongea la maana SanaWapinzani makini na imara walitakiwa wawe na uwezo kuwashawishi hao Polisi, Magereza, Uhamiaji, Jeshi la ulinzi,
na vigogo kutoka BOT, TRA, TPA, TBS, wawaunge mkono na kuchukua dola maana Wote ni watanzania.
Acheni kudeka
Na sisi wananchi ambao Kodi zetu zinazidi kutumika kama Ruzuku na Watawala wanazidi kulamba asali, tunalia wapi au nyumbani ni wapi ?
Na wewe unless ni mlambaji nakusihi hakuna faida ya kula jasho la wengi ila kama na wewe upo katika wale wanaopigwa / pigika na status quo na bado unachekelea hivi basi safari bado ni ndefu.
Excellent. Kweli unajua kulitumia Neno. Btw. Nimependa signature yako. Inakuthibitisha. I'm impressed.Warumi 13
1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
2 Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
3 Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;
Akili hauna wewe hivi kwa fikra na mawazo yako kuna jambo linaloshindikana? Uwepo wa vyama vya upinzani ni kui challenge serikali lakini kwa kuwa una akili fupi umekuja na andiko la kijinga sana.Mmelogwa nyie mnaoshindana mbio ambazo kamwe hamtashinda😄😄😄
Uharo tupu umeandikaTukosema Tanzania kuna maigizo ya upinzani mtuelewe
Tukisema CHADEMA ni kampuni ya watu flani wachache msibishane na sisi
Ushauri wangu kwa wanachadema kuliko kuendelea kuteseka na kuumia rudini nyumbani kama mwana mpotevu
Luka 15:18
Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako;
KUDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU MBARIKI RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Serikalini kuna upumbavu na ujinga sana unaofanywa na watumishi wa u ma chini ya serikali inayoongozwa na CCM. Kwa kuwa wewe ni mpuuzi na usiyejitambua unaandika ujinga kama huu.
Upumbavu na ujinga kama wako unavyouandika mbele ya mamilioni ya watu uwe unaufikiria before posting your crappies.
Again unaangalia haya mambo kwa miwani za Chadema au CCM mimi naangalia kwa miwani ya mwananchi mlipa kodi, yaani sina upande wowote na ukizingatia ideaologically hakuna tofauti between the two..., Na wewe kwa kusema kabisa kwamba watoke kule waje huku conclusively huoni hata faida ya uwepo wa the other..., that said ni kwamba mwananchi anakuwa shortchanged kwa haya maigizo...Waulize CHADEMA ruzuku wanafanyiaga nini😁😁
Una stress eeeh
Uharo tupu umeandika
Whatever ni upumbavu lakini uwepo wa upinzani ni muhimu sana kwa.Hakuna upambavu na ujinga mkubwa unaoendelea chini ya jua kama upumbavu unaoendelea ndani ya CHADEMA
Halafu na wewe ulivyo mpumbavu na mpuuzi unaushangilia huo upumbavu
Yaani povu lote linalokutoka hapa ni sababu tuu ya kutetewa kwenye faragha ya ushoga
View: https://youtu.be/5pfu1eILfdw?si=A6IAQGEMlQsJNA-2
Mfyuuuu
Ni mpumbavu pekee ndio atakayeamini ccm itatoka kwa kupiga kura kweye uchaguzi.