Sikujua kama Taifa Stars inacheza leo

Sikujua kama Taifa Stars inacheza leo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ya Wachezaji wa ndani imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2025 kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-6 dhidi ya Sudan.

Tanzania licha ya kufunga goli 1-0 lililofungwa na Crispin Ngushi dakika ya 33 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kutokana na kupoteza mchezo mchezo wa kwanza ugenini kwa kufungwa 1-0 hivyo aggregate ikawa 1-1 ndipo changamoto za mikwaju ya penati ikaamua Mshindi.

Pamoja na kutolewa katika njia ya mchujo Tanzania itashiriki michuano ya CHAN 2025 kama Taifa Mwenyeji wa michuano hiyo inayopangwa kuchezwa February mwakani.

My Take
Hivi sisi tupo serious kweli. Kumbe leo timu ya Taifa ina mechi? Mbona wamechezaji tegemezi wa ndani walibaki huko Kigoma na Azam complex jana. Inakuwaje hii?
 
nchi ipo kwenye manung'uniko baada ya timu ya taifa iliyokwenye mioyo yetu kufungwa na walambalamba!, hivyo hiyo iliyokuwa inacheza leo ni kama dondoo ama kibwagizo tu!.
 
hiyo yanga mechi tatu zinazofuata inatakiwa itandikwe mpaka mashabiki wake akili ziwakae sawa
 
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ya Wachezaji wa ndani imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2025 kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-6 dhidi ya Sudan.

Tanzania licha ya kufunga goli 1-0 lililofungwa na Crispin Ngushi dakika ya 33 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kutokana na kupoteza mchezo mchezo wa kwanza ugenini kwa kufungwa 1-0 hivyo aggregate ikawa 1-1 ndipo changamoto za mikwaju ya penati ikaamua Mshindi.

Pamoja na kutolewa katika njia ya mchujo Tanzania itashiriki michuano ya CHAN 2025 kama Taifa Mwenyeji wa michuano hiyo inayopangwa kuchezwa February mwakani.

My Take
Hivi sisi tupo serious kweli. Kumbe leo timu ya Taifa ina mechi? Mbona wamechezaji tegemezi wa ndani walibaki huko Kigoma na Azam complex jana. Inakuwaje hii?
sijawahi kuona taifa stars inacheza vibaya kama leo.
 
Hii game imetangazwa sana nakumbukumba walisema kiingilio ni bure pale kwa Mkapa
 
Screenshot_20241102_074855.jpg
 
nchi ipo kwenye manung'uniko baada ya timu ya taifa iliyokwenye mioyo yetu kufungwa na walambalamba!, hivyo hiyo iliyokuwa inacheza leo ni kama dondoo ama kibwagizo tu!.
Hamjasema badooo
 
wewe ndo utasema maana na msimu huu huna tarajio lolote la kuchukua kikombe..😂
Hiyo ni ya baadae ila kwa sasa tunasherehekea kukandwa kwenu...😃😃😃
 
Back
Top Bottom