toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Ndugu zangu sikujua kuwa jina langu lina ukakasi humu
Kuna wakati nilikua napata mashambulizi ya maneno humu na shutuma za uwongo uwongo.
Nikajiuliza kulikoni?Leo ndo nimejua ukweli
Maana sababu ya kujiita hili jina niliwaza nitatumia jina gani JF nikawa naumiza kichwa lakini kipindi hicho bidhaa iliyokua inatrend sana sokoni ni kipodozi cha Toplemon sasa nikiwa nawaza nitumie ID gani humu?
Nakumbuka nilikua dukani kwa anko nauza vipodozi kila muda watu walikua wakija wanaulizia vipodozi kuna dada mmoja alikua anachukua vipodozi vya toplemon kiasi kwamba ikawa akiniona ataniita toplemon kama lugha ya utani mwishowe yule mama akawa ni mteja wetu na ikazoeleka hivyo
Na mimi nikasema ngoja hilo jina la toplemon nilitumie humu jf mwanzo sikupata shida nilishangaa siku za karibuni watu wananishambulia na hili jina sikua naelewa mwishoni nikashangaa baadhi ya watu wanakuja pm kunitongoza
Sikujua jina langu linarelate na maana na maudhui ya jinsia moja nimesikitika sana, ujinga mtupu mtu anakuja pm kabisa anadhani na wewe ni wale wale
Imefika mahali nashindwa hata kupost jambo humu jf maana wapo wanaonishambulia kwa maneno
Nimesikitika sana